Wakenya wengi wanaoongea mitandaoni kuiponda Tanzania body language yao ni kama Wanamapepo

Kwenye taifa letu watu wenye IQ kubwa wamejitenga na siasa Kisha watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri ndo wakavamia siasa kwa yanayoendelea bungen ni ngumu kuwatetea viongozi wetu kwasababu ni mambo yanayotia aibu na hasira kbc
Hapo sawa
 
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.

1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.

2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.

3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).

4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.

5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.

Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.

Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.

Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Usicheze na mtu anayethubutu kumpiga rais wake na mabuti mabovu, uburu wao hawakupewa sebuleni ksma sisi ndicho kinawafanya wawe na uchungu.
 
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.

1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.

2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.

3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).

4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.

5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.

Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.

Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.

Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
 
Attachments

  • 20250528_191328.jpg
    20250528_191328.jpg
    232.9 KB · Views: 20
Wakenya wengi wana ufahamu wa juu kuliko sisi ,tukubali japo ni ukweli unaouma.
Sidhani. Ni beats walizotengeneza na bahati mbaya baadhi ya Watanzania wameingia kwenye mfumo, wanazicheza.
 
Kenya ni chaos sana na 2027 lazima wachinjane, Sisi hakuna mtu atapokea Ngombe hao
 
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.

1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.

2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.

3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).

4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.

5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.

Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.

Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.

Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Njaa ni mbaya ndg, hawana kazi na wazazi wao hawana rasilimali yyte ardhi inamilikiwa na raia wachache ndio hao viongozi wao wakiwemo wabunge. Kenya imejengwa kwenye msingi wa hovyo sana na alifanya Kenyata. Tujifunie nchi yetu na tumshukuru baba wa Taifa, kwetu popote unapewa ardhi na kiwango unachotaka ili mradi ufuate taratibu, kwetu kijana kuwa maskini ni uvivu wake tu
 
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.

1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.

2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.

3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).

4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.

5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.

Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.

Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.

Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Usituingize kwenye ugonvi wenu
 
Wauwaji wana mapepo mengi kuliko waongeaji lakini, au nakosea ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom