Wakenya wengi wanaoongea mitandaoni kuiponda Tanzania body language yao ni kama Wanamapepo

Wakenya wengi wanaoongea mitandaoni kuiponda Tanzania body language yao ni kama Wanamapepo

Wale gen Z wanorusha clip za matusi, ni chokoraa hawana maisha, ni semi-illiterate ambao hawazijui nchi zingine za EA, ndyo ambo politicians wa Kenya huwa wanawatumia kufanya vurugu na kuuana, hawana future kabisa
Mkuu wakenya wapo juu kwenye kujielewa , mimi nina kazi zangu niliajiri wabongo kama mameneja hakuna kitu walifanya ila toka niliweka wakenya nilijua tofauti ni nini🤔
 
Huyu je hana mapepo kweli 🤔
 
Mkuu wakenya wapo juu kwenye kujielewa , mimi nina kazi zangu niliajiri wabongo kama mameneja hakuna kitu walifanya ila toka niliweka wakenya nilijua tofauti ni nini🤔
The same hata kwa Watanzania, kuna watu ukiwaajiri wako loyal na hard worker, I.e wasukuma, wakinga, wabena etc hata wahindi wanawajua hao pia, hawaajiri foreigners zaidi ya wahindi wenzao (cheap and reliable)
 
The same hata kwa Watanzania, kuna watu ukiwaajiri wako loyal na hard worker, I.e wasukuma, waking, wabena etc hatq wahindi wanawajua hao pia, hawa ajiri foreigners zaidi ya wahindi wenzao (cheap and reliable)
Nimeshafanya kazi na wasukuma kaka, vijana wakenya wengi ni smart sana kichwani mara 10 ya wa tz wengi wao
 
Nimeshafanya kazi na wasukuma kaka, vijana wakenya wengi ni smart sana kichwani mara 10 ya wa tz wengi wao
Ila sio hawa wa mitandaoni mkuu.
Wakati mwingine wanaonekana wako smart KWA sababu wanavyojiweka. Sisi tumejifunza kumsifia watu na KUWA na submission za kijinga. Wale maisha yamewafundisha KUWA aggressive, kujinadi, kujisaifia hata hata kama hajui KITU. Hawajazubaazubaa kama wabongo wengi.

Ila Hawa jamaa nimeaona TikTok wanatukana hovyo akili ZAO zinashida aisee.
 
Kaka , wakenya nakuhakikishia ni smart mno ,kutukana hakuondoi akili kubwa ya mtu , mda mwingine sisi hatutukani kwa sababu tunaogopa kufa tu.
 
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.

1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.

2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.

3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).

4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.

5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.

Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.

Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.

Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Mkuu unaelewa satire?

Jaribu kuwaangalia/kuwasikiliza akina Jimmy Kimmel, Jon stewart, stephen colbert, chris tucker, etc. wa Marekani wakifanya yao. Halafu leta hizo porojo za IQ, hoja, mapepo na majini.

Mambo mazito yana namna nyingi ya kuwasilishwa. Wenzio wanatumia mizaha kufikisha ujumbe na hisia zao wewe unatafuta "hoja", "IQ" na mapepo kwenye hiyo "mizaha". Unajipa tabu ya bure kujaribu kuelewa hayo mauzauza. Yapuuze uwe na amani ya moyoni (your precious peace of mind).

Nafikiri sasa watawala na chawa wao wataelewa "matusi" hasa ni kitu gani. Sio ule ukosoaji wa ki-gentleman wa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom