Wakenya wengi wanaoongea mitandaoni kuiponda Tanzania body language yao ni kama Wanamapepo

Nimeshafanya kazi na wasukuma kaka, vijana wakenya wengi ni smart sana kichwani mara 10 ya wa tz wengi wao
Hata mimi nimefanya nao kazi na kuwa train hawako smart kama inavyodhaniwa, hiyo imani ni stereotype na inferiority complex, waamnin wa TZ, Kenya pia waTZ tunaamininika kwa kazi
 
Hata mimi nimefanya nao kazi na kuwa train hawako smart kama inavyodhaniwa, hiyo imani ni stereotype ba inferiority complex, waamnin wa TZ, Kenya pia waTZ tunaamininika kwa kazi
Nakuunga mkono. Ni brainwashing tu KUWA wakenya wako Bora. Ni kama wanaamini Waisrael ni superior beings wakati hawawafikii hata Wasingapole tu ukiacha wachina.
 
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.

1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.

2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.

3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).

4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.

5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.

Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.

Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.

Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Wakenya wengi wana ufahamu wa juu kuliko sisi ,tukubali japo ni ukweli unaouma.
By min -me
 
Na viongozi wengi wa Tz wanapoongea kuhusu Tanzania na watanzania unawaona wanayo mapepo
 
Kwa nini ume mute sauti? Umeangalia kelele za Wabunge, hasa wa kike....Tofauti ni ipi hasa! Unaona Jazba, unashangaa ni Wabunge!! Maana hao Gnz unaona wengi wao ni vijana wa vijiweni! Lakini kuona wabunge wanaropoka bila kuja na hoja kwe wengine tumeona wao ndio wana mapepo!
 
Sauti ni Asilimia 20 tu ya mawasiliano. Namna inavyotoka lugha ya mawili na ishara na muonekano wa sura unatoa asilimia 80 ya mawasiliano yake. Ndio maana sisi watumishi wakati mwingine huwa hatukusikilizi tunakuangalia ili sauti yako isidistract ujumbe na wako.
 
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.

1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.

2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.

3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).

4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.

5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.

Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.

Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.

Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi

Mkuu: Sijui umri wako na wala elimu yako, lakini ni mara ngapi Tanzania imefukuza wageni hapa nchini? Kuna kuwapeleka Mahakamani, na vile vile kuwapa masaa ya kuondoka nchini, imefanyika mara nyingi toka tupate Uhuru.

Lakini unapomfukuza mtu kwa kipigo kama mhalifu na kumdhalilisha, inatia mashaka mno na viongozi wetu huko juu! Kama wengepewa masaa 24 au 48, na waziri wa Mambo ya ndani kelele za kuwapandisha Mapepo hao Gnz na Wabunge wetu kusingetokea!
 
Hapo kwenye kuwapiga nakuunga mkono kabisa. Ni KITU ambacho dunia inatuona vichaa. Hata Mimi nilishangaa na kuona wabunge akiwemo msukuma wanashangilia.

Kazi ya Bunge ni kutunga Sheria na kuishauri Serikali. Sasa kama watu wanapigwa kinyume cha Sheria alafu watunga Sheria wanafurahia sisi tunaona kumbe wakiingia mle kimakosa au wamesahau wajibu wao.

Msingi wa hoja yangu sio uonevu wa wale wanaharakati ni namna ya mwitikio wa hao jamaa wa Kenya vijana. Wanakuwa kama ni watu waliopagawa na spirits.
Ila la kupigwa, Kila mwenye akili timamu anashangaa sijawahi kusikia hicho KITU nchi yoyote. Nilitafuta reference sijaona.
 
Sasa Tz tunaonekana wajinga, ni vigumu kujibizana na vijana wa mitaani Kenya, hata kama hukubaliani na Rais Samia, lakini madhalilisho dhidi yake yanamuumiza Mtanzania yoyote mwenye akili timamu, lakini chanzo ni Serikali yenyewe, kuwa na hofu zisizo na msingi! Nini wangekifanya watu watatu kwa kwenda Mahakamani? Na Kama ujio wao walikuwa wanajua utakuwa tishio, wengezuliwa mipakani, na hata baada ya kuingia wangepewa masaa 12 au 24 kuondoka nchini.

Hii kazi ingefanyika kimya kimya na Waziri wa Mambo ya Ndani, wala haikumuhitaji Rais kuizungumzia. Kama nilivyosema kuna Wageni wengi mno Tanzania wamaeondolewa kwa masaa 24 hadi 48! Hili la kupiga linatuweka wazi kama taifa kuwa hatuna utawala wa sheria!
 
Kwenye taifa letu watu wenye IQ kubwa wamejitenga na siasa Kisha watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri ndo wakavamia siasa kwa yanayoendelea bungen ni ngumu kuwatetea viongozi wetu kwasababu ni mambo yanayotia aibu na hasira kbc
 
Ni kwelii
 
Attachments

  • 6075712-7d8661a3c8a1c5a7a10ef4775dd41e5.mp4
    1.3 MB
Sasa Tz tunaonekana wajinga, ni vigumu kujibizana na vijana wa mitaani Kenya, hata kama hukubaliani na Rais Samia, lakini madhalilisho dhidi yake yanamuumiza Mtanzania yoyote mwenye akili timamu, lakini chanzo ni Serikali yenyewe, kuwa na hofu zisizo na msingi! Nini wangekifanya watu watatu kwa kwenda Mahakamani? Na Kama ujio wao walikuwa wanajua utakuwa tishio, wengezuliwa mipakani, na hata baada ya kuingia wangepewa masaa 12 au 24 kuondoka nchini.

Hii kazi ingefanyika kimya kimya na Waziri wa Mambo ya Ndani, wala haikumuhitaji Rais kuizungumzia. Kama nilivyosema kuna Wageni wengi mno Tanzania wamaeondolewa kwa masaa 24 hadi 48! Hili la kupiga linatuweka wazi kama taifa kuwa hatuna utawala wa sheria!
Wakati huohuo Kuna tuhuma za mkuu wa majeshi za uwepo wa watu wasio watanzania kwenye mifumo yetu ila hatujasikia hata fununu ya deportation yao Wala wakitupwa mipakania wakiwa na vidonda. Serikali inahaja ya kuongeza weledi katika utekelezaji wa majukumu yake maana hatuko kisiwani jamii ya kimataifa inaangalia. Hata wawekezaji wanaweza kuona ni eneo hatari kama mtu anaweza kupigwa na kutupwa hovyo bila Sheria kufuatwa ili aondolewe vipi mtaji wake utakuwa na ulinzi upi KISHERIA. Kuna haja ya kufanya mambo KWA jicho la nyuzi 360.
 
Back
Top Bottom