matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.
1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.
2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.
3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).
4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.
5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.
Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.
Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Acha usenge jamaaNimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.
1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.
2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.
3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).
4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.
5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.
Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.
Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Wengi ni hustlers/masikini ambao hawajawahi vuka nje ya Kenya, wanaamini Kenya ni superior kwa nchi za EA, hawajui kuwa kuna Wakenya wako TZ hawataki kurudi kwao.Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.
1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.
2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.
3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).
4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.
5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.
Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.
Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Hakika,Wakenya wengi wana ufahamu wa juu kuliko sisi ,tukubali japo ni ukweli unaouma.
Kabisa kidato cha nne Kenya, Tanzania ni professa.Hakika,
Ufahamu ni kitu gani?..unamaanisha nini hapa?Wakenya wengi wana ufahamu wa juu kuliko sisi ,tukubali japo ni ukweli unaouma.
Acha uwongo wewe,elimu laini tena ya chuo,hao si ndiyo walikua shakahola wakifunga hadi kufa wakutane na yesu!!Kabisa kidato cha nne Kenya, Tanzania ni professa.
Wewe umeelewa vipi kwanza ?Ufahamu ni kitu gani?..unamaanisha nini hapa?
Wewe ni chawa ninachokisema wanaelewa binadamu tu ,hivyo sikujibu kwa hoja.Acha uwongo wewe,elimu laini tena ya chuo,hao si ndiyo walikua shakahola wakifunga hadi kufa wakutane na yesu!!
Ufahamu ninaouelewa mimi nimeshangaa kusema wakenya wametuzidi...hao wanamuunga mkono mgombea si kwa hoja bali kisa ni kabila lake,ndo Wana ufahamu hao!?Wewe umeelewa vipi kwanza ?
Kenya wakija udsm kusoma masomo ya sayansi basi mwaka mmoja watasoma masomo ya sayansi a level kwanzaWewe ni chawa ninachokisema wanaelewa binadamu tu ,hivyo sikujibu kwa hoja.
Wale gen Z wanorusha clip za matusi, ni chokoraa hawana maisha, ni semi-illiterate ambao hawazijui nchi zingine za EA, ndyo ambo politicians wa Kenya huwa wanawatumia kufanya vurugu na kuuana, hawana future kabisaWakenya wengi wana ufahamu wa juu kuliko sisi ,tukubali japo ni ukweli unaouma.
Sawa chawaUfahamu ninaouelewa mimi nimeshangaa kusema wakenya wametuzidi...hao wanamuunga mkono mgombea si kwa hoja bali kisa ni kabila lake,ndo Wana ufahamu hao!?
Sawa chawaKenya wakija udsm kusoma masomo ya sayansi basi mwaka mmoja watasoma masomo ya sayansi a level kwanza