Wakenya wengi wanaoongea mitandaoni kuiponda Tanzania body language yao ni kama Wanamapepo

Wale gen Z wanorusha clip za matusi, ni chokoraa hawana maisha, ni semi-illiterate ambao hawazijui nchi zingine za EA, ndyo ambo politicians wa Kenya huwa wanawatumia kufanya vurugu na kuuana, hawana future kabisa
Mkuu wakenya wapo juu kwenye kujielewa , mimi nina kazi zangu niliajiri wabongo kama mameneja hakuna kitu walifanya ila toka niliweka wakenya nilijua tofauti ni nini🤔
 
Huyu je hana mapepo kweli 🤔
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu wakenya wapo juu kwenye kujielewa , mimi nina kazi zangu niliajiri wabongo kama mameneja hakuna kitu walifanya ila toka niliweka wakenya nilijua tofauti ni nini🤔
The same hata kwa Watanzania, kuna watu ukiwaajiri wako loyal na hard worker, I.e wasukuma, wakinga, wabena etc hata wahindi wanawajua hao pia, hawaajiri foreigners zaidi ya wahindi wenzao (cheap and reliable)
 
The same hata kwa Watanzania, kuna watu ukiwaajiri wako loyal na hard worker, I.e wasukuma, waking, wabena etc hatq wahindi wanawajua hao pia, hawa ajiri foreigners zaidi ya wahindi wenzao (cheap and reliable)
Nimeshafanya kazi na wasukuma kaka, vijana wakenya wengi ni smart sana kichwani mara 10 ya wa tz wengi wao
 
Nimeshafanya kazi na wasukuma kaka, vijana wakenya wengi ni smart sana kichwani mara 10 ya wa tz wengi wao
Ila sio hawa wa mitandaoni mkuu.
Wakati mwingine wanaonekana wako smart KWA sababu wanavyojiweka. Sisi tumejifunza kumsifia watu na KUWA na submission za kijinga. Wale maisha yamewafundisha KUWA aggressive, kujinadi, kujisaifia hata hata kama hajui KITU. Hawajazubaazubaa kama wabongo wengi.

Ila Hawa jamaa nimeaona TikTok wanatukana hovyo akili ZAO zinashida aisee.
 
Kaka , wakenya nakuhakikishia ni smart mno ,kutukana hakuondoi akili kubwa ya mtu , mda mwingine sisi hatutukani kwa sababu tunaogopa kufa tu.
 
Mkuu unaelewa satire?

Jaribu kuwaangalia/kuwasikiliza akina Jimmy Kimmel, Jon stewart, stephen colbert, chris tucker, etc. wa Marekani wakifanya yao. Halafu leta hizo porojo za IQ, hoja, mapepo na majini.

Mambo mazito yana namna nyingi ya kuwasilishwa. Wenzio wanatumia mizaha kufikisha ujumbe na hisia zao wewe unatafuta "hoja", "IQ" na mapepo kwenye hiyo "mizaha". Unajipa tabu ya bure kujaribu kuelewa hayo mauzauza. Yapuuze uwe na amani ya moyoni (your precious peace of mind).

Nafikiri sasa watawala na chawa wao wataelewa "matusi" hasa ni kitu gani. Sio ule ukosoaji wa ki-gentleman wa CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…