matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
- Thread starter
-
- #61
Hapo sawaKwenye taifa letu watu wenye IQ kubwa wamejitenga na siasa Kisha watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri ndo wakavamia siasa kwa yanayoendelea bungen ni ngumu kuwatetea viongozi wetu kwasababu ni mambo yanayotia aibu na hasira kbc
Bado umewadharau wakenya sanaKabisa kidato cha nne Kenya, Tanzania ni professa.
Inawezekana kuwa kwelBado umewadharau wakenya sana
Hawa hawa ma professors waliokunywa juice kutoka Madagascar
Elimu ya bongo ni kukariri tu ila kimaisha haisaidii waende Veta tu 😂😂Inawezekana kuwa kwel
Usicheze na mtu anayethubutu kumpiga rais wake na mabuti mabovu, uburu wao hawakupewa sebuleni ksma sisi ndicho kinawafanya wawe na uchungu.Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.
1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.
2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.
3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).
4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.
5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.
Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.
Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.
1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.
2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.
3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).
4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.
5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.
Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.
Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Mkuu huna kazi ya kufanya.
Sidhani. Ni beats walizotengeneza na bahati mbaya baadhi ya Watanzania wameingia kwenye mfumo, wanazicheza.Wakenya wengi wana ufahamu wa juu kuliko sisi ,tukubali japo ni ukweli unaouma.
Njaa ni mbaya ndg, hawana kazi na wazazi wao hawana rasilimali yyte ardhi inamilikiwa na raia wachache ndio hao viongozi wao wakiwemo wabunge. Kenya imejengwa kwenye msingi wa hovyo sana na alifanya Kenyata. Tujifunie nchi yetu na tumshukuru baba wa Taifa, kwetu popote unapewa ardhi na kiwango unachotaka ili mradi ufuate taratibu, kwetu kijana kuwa maskini ni uvivu wake tuNimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.
1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.
2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.
3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).
4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.
5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.
Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.
Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Ufahamu kuhusu niniWakenya wengi wana ufahamu wa juu kuliko sisi ,tukubali japo ni ukweli unaouma.
KumbeSidhani. Ni beats walizotengeneza na bahati mbaya baadhi ya Watanzania wameingia kwenye mfumo, wanazicheza.
Wewe unayo?Mkuu huna kazi ya kufanya.
Swali gani hilo mke wangu.Wewe unayo?
Kumbe babaako ni mkeo? Sawa!Swali gani hilo mke wangu.
IdiotKumbe babaako ni mkeo? Sawa!
Usituingize kwenye ugonvi wenuNimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.
1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.
2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.
3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).
4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.
5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.
Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.
Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Ahahahahaha!!!Idiot