Wakenya wengi wanaoongea mitandaoni kuiponda Tanzania body language yao ni kama Wanamapepo

Tatizo la WAKENYA wengi HAWATAIRIWI!!!!,,,,sasa lile GOVI linawatia wazimu
 
Kukijua kiswahili sio kuwa na elimu pia.Bali kujua lugha ya kingereza inakupa fursa ya ku interact na jamii zilizotangulia kupata elimu na kwandika vitabu kwa lugha hii.Hivyo lugha ya kiingereza ni mhimu kwa mawasiliano na ku import elimu kutoka nchi zilizoendelea.Nadhani tulikosea kuacha kufundisha lugha ya kiingerza katika masomo ya shule za awali
 
Nakubaliana na mtoa mada.
Wakenya wengi wana maisha magumu kuliko watz pia vijana wao wanatumiwa na baadhi ya watu kukosoa serikali na kuwajeruhi wabunge.
 
Niliko huku nje ya Africa, watanzania na wakenya ni ndugu kabisa tunashirikiana...waganda ndio wazito kidogo ila wakenya tutaonana kama ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…