TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

Kile kipindi cha muda sio week mbili hizi✍️
Zaidi yule ni mwanaccm

Wakili wa Serikali mwenye kujipambanua na Chama chake

ujawai kusikia kakamatwa wala kashkash yoyote kwake Mzee hajawai kuwa nyumbu kama nyumbu ✍️
 
Wewe huna akili kichwani, Alluthe Mughwai ni kada wa Ccm na Wakili wa ccm.

Kesi ya ubunge ya Lema Tundu Lisu alimshinda kaka yake Mahakama kuu na Lema kurudishiwa ubunge wake.

Akili zako ziko nchonyoni.
Nimeuliza,kuna alama ya kuuliza,acha kukurupuka
Kuna some sort of sympathy toka kwa watu wa 'tunadhukuru kwa hiki kidogo' kwenye hiki kifo cha mughwai
 
View attachment 3702462

Picha hii ilichukukiwa siku tano zilizopita alipohojiwa na That Boy Khalifa wa The Chanzo. Je ni kweli kafariki ? Nini chaweza kuwa chanzo cha kifo? Michezo mibaya ya kisiasa? Au stress ya mdogo wake kusubiri hukumu ya kifo dhidi ya kesi ya uhaini huku akina Heche na Maria na Mange wakikataa maridhiano
Why Mungu unawachukua watu wema
 
Wakili Allute Lissu Mughwai ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefariki usiku wa kuamkia Leo Novemba 1, 2026.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Dada yake aitwaye Rose Masesa pindi alipozungumza na Jambo TV.

Jambo TV ilipotaka kufahamu chanzo cha kifo chake Rose ametueleza kuwa kwa sasa hawezi kuzungumza lolote huku akitueleza kuwa msiba upo jijini Arusha.

"Ni taarifa za kweli msiba upo Arusha na mimi naelekea huko" alisema Rose kwa ufupi.


===
Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia amethibitisha kutokea kwa msiba huu, amesema "Ni taarifa ya kweli, msiba umetokea na sasa viongozi wetu wanaelekea gerezani kuonana na Mwenyekiti baada ya hapo tutatoa taarifa rasmi na kamili"
Rip lawyer
 
Hakuna CCM ya Nyerere wala yasasa CCM ni moja tu ✍️

zaidi kulikuwa na Tanu Taa nk.

Hamuwezi kuchukua msiba wa nwana CCM mkaufanya wa kichadema Chadema :BanHammer:

Wana CCM mjiandae kubeba jukumu la kiongozi wetu wakili wa Serikali MSOMI nguli kabisa nasikitika kwakweli kumpoteza Mzee wetu ✍️
Kwani polepole hakuwa mwana ccm? Nchimbi je? Ccm haichagui damu, hata wewe siku ukiikosoa you are gone.
 
Nilifuatilia mahojiano yake na mwandishi wa habari Mburushi.
Ukimwangalia vizuri alionekana bado mgonjwa na alikuwa akichelewa sana kujibu maswali simple.
RIP Alute Lissu.
Kuchelewa kujibu ilikuwa ni kuchagua maneno! alijua uzito wa jambo analoongelea

Tazama alipoulizwa kuhusu 'kiongozi wa juu' ali react haraka sana akiwa na majibu! maana yake ni kwamba alijua swali hilo na alikuwa na majibu. Maswali mengine alihitaji muda wa kufikiri ili awe katika nafasi salama !

Pumzika kwa amani Alute!

JokaKuu
 
So sad marehemu alikuwa simple man asiependa makuu.

Yaani kuna serial killer huko serikalini.

Nani mwenye akili timamu anaweza mdhuru ‘Alute Lissu’ mtu ambae anajua kuchunga hata kauli zake.

Inasikitisha sana, so unnecessary.
 
Wakili Allute Lissu Mughwai ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefariki usiku wa kuamkia Leo Novemba 1, 2026.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Dada yake aitwaye Rose Masesa pindi alipozungumza na Jambo TV.

Jambo TV ilipotaka kufahamu chanzo cha kifo chake Rose ametueleza kuwa kwa sasa hawezi kuzungumza lolote huku akitueleza kuwa msiba upo jijini Arusha.

"Ni taarifa za kweli msiba upo Arusha na mimi naelekea huko" alisema Rose kwa ufupi.


===
Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia amethibitisha kutokea kwa msiba huu, amesema "Ni taarifa ya kweli, msiba umetokea na sasa viongozi wetu wanaelekea gerezani kuonana na Mwenyekiti baada ya hapo tutatoa taarifa rasmi na kamili"

Juzi Ijumaa nilipishana nae kwenye corridors za Hoteli ya Pretoria Court yard nilienda kupata lunch pale..ilikuwa Mchana.

Kuamkia Jumamosi Asubuhi eti kafa duh kweli kifo ni fumbo
 
So sad marehemu alikuwa simple man asiependa makuu.

Yaani kuna serial killer huko serikalini.

Nani mwenye akili timamu anaweza mdhuru ‘Alute Lissu’ mtu ambae anajua kuchunga hata kauli zake.

Inasikitisha sana, so unnecessary.
Jamani the man was sick nz yeye mwenyewe kasema. Pressure, kisukari plus that age.
 
Hili ni somo lingine, la kuto ombea hii nchi kushikwa na vyombo vya usalama na ulinzi.

Hawa ndio watu waliomzunguka bi-tozo leo. Hawajapikwa kisiasa (na uvumilivu) kwao maisha hayana thamani kabisa.

Washauri wakaida waliotengenezwa kumshauri raisi hawana tabia ya kuuwa hivi.

Ni watu ambao wahuni wamewasaka wanaojua kutumia madaraka ya raisi vibaya ndio waliotufikisha hapa.

Jamaa hawana muamana, na hawajui mbinu nyingine yoyote ya ku-deal na changamoto zaidi ya kuchukua uhai.

Alute maskini ya mungu was an easy individual.
 
Back
Top Bottom