TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

Pole kwa wanafamilia, mzee hata bila ya kusema yuko katika matibabu na hata kesho angeelekea.

Kuna clinical features tu niliziona zilinionyesha ni mgonjwa hata kama asingesema anaumwa hivyo tuache apumzike kwa amani.
 
Michadema mkae mbali na Msiba yule ni mwana CCM kwa Card na kaongea waziwazi mwenyewe!!

Uchizi wenu pelekeni kwenye mambo yenu mengine

Haiwezekani Uchadema wa Lissu mkamvishe mwana CCM Mzee wetu mwenye kujitambua Rip Alute mughwai 🙏
Ccm + jihadism = Great Lunacy
 
1.Kasema ni mgonjwa=Sababu
2.Kaficha jina la kiongozi wa kitaifa aliyemfuata,angeenda kumuona mdogo wake,yawezekana angemwambia,na hii ingeongeza changamoto nakuonekana dhahiri kuwa ANAONEWA=Kosa lake kubwa.
Pole sana kwa wanafamilia,akiwemo Lissu aliyepo gerezani.
Inasikitisha sana,sijui huko gerezani kisaikolojia yuko katika hali gani.
Chanzo cha kifo kikifikiriwa kuwa ni mambo ya siasa,atajisikia vibaya sana,kwani ataona yeye ndo anafanya ndugu zake na familia yake kwaujumla,kufa vifo tata na kuishi kwa hofu.
Atakua anajisikia vibaya sana kila akiwaza hayo,na ndugu zake,baadhi yao watamuona Lissu kama mtu mbaya sana kwenye familia yao.
Pole sana kwa familia.
 
Michadema mkae mbali na Msiba yule ni mwana CCM kwa Card na kaongea waziwazi mwenyewe!!

Uchizi wenu pelekeni kwenye mambo yenu mengine

Haiwezekani Uchadema wa Lissu mkamvishe mwana CCM Mzee wetu mwenye kujitambua Rip Alute mughwai 🙏
Wanyaturu usiwafananishe na Wanyiramba, hakuna msiba wowote wa kichama hapo, huijui hiyo familia.

Hapo kuna kina Gwao, Kundya, Nungu ndio wenye msiba wao, ni chifu wa Wanyaturu ndio mwenye platform yake, laana zenu za ccm mnanuka damu kaeni mbali kabisa.

Wakati mnataka kumuuwa mdogo wake kwa risasi na kumuweka jela hamkujuwa kaka yake ni Ccm mwenzenu?

Shenzi kabisa.
 
Back
Top Bottom