Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,258
- 14,942
Ulitaka nani afe badala yake?
KIFO KILIUMBWA PIA!
Context? Nje kabisa ya mada
Ulitaka nani afe badala yake?
KIFO KILIUMBWA PIA!
..aliwataja ccm ndio walimuita kushawishi kuandika hiyo barua? huwezi kutofautisha serikali na ccm..?Inawezaka vipi afariki mara baada ya kufanya Interview ile? tutahitaji kujua aliongea na Kiongozi gani mkuu serikalini ambaye hakutaka ajulikane, CCM mnahusika na kifo hiki kwa 100%
Haya makaburi yote nchi hii watu waliuawa na serikali?..mtu alisema mwenyewe kaugua muda mrefuHuenda yale maelezo yake ndio yamemgharimu?
Leo hamshukuru kwa hiki kidogo, malaika wa kifo hajapiga off target?RIP Alute.
Pole Sana Jirani, Pole nyingi kwa Familia ya Lissu, ndugu, jamaa na Wanachi wote walioguswa na msiba huu mzito.
Raha ya milele umpe eeh Bwana! Na Mwanga wa Milele umuangazie!
Mpendwa wetu Apumzike kwa Amani!
AMINA!.
Na umepata reactions/like 13,mitinginya mingi sana humu!Inawezaka vipi afariki mara baada ya kufanya Interview ile? tutahitaji kujua aliongea na Kiongozi gani mkuu serikalini ambaye hakutaka ajulikane, CCM mnahusika na kifo hiki kwa 100%
Aliwahi kugombea ubunge kupitia CCM mkuu ila kwenye mchujo hakutoboa, ni MCCM kitambo na ndiye alimsomesha Lisu akiwa Ilboru yeye akiwa wakili wa serikali.Hivi hamuoni aibu? Nyie machawa wa Veggies, muhusika alisha sema CCM wakati wa Nyerere sio hii ya sasa, kinachowafanya mchukue jukumu la msiba wake ni lipi? Kwanza ukute nyie wenyewe mme muua.
Toeni unafiki wenu hapa.
Probably your ccunt stinks, rotten brain hawezi kuwa na ccunt swafiMichezo michafu inaendelea dah! 😥
Kmmk! La mama ako lilooza na kutoa harufu likakuzaa na wewe mtoto wake uvundo..!!Probably your ccunt stinks, rotten brain hawezi kuwa na ccunt swafi
Malaika wa kifo kutoka corridor za Lumumba eeh?Leo hamshukuru kwa hiki kidogo, malaika wa kifo hajapiga off target?
Unataka kupingana na alicho kisema yeye muhusika?? Mbona alishaweka wazi na kila mtu ali elewa.Aliwahi kugombea ubunge kupitia CCM mkuu ila kwenye mchujo hakutoboa, ni MCCM kitambo na ndiye alimsomesha Lisu akiwa Ilboru yeye akiwa wakili wa serikali.
Mallayya usiyejua kuiosha,dolle moja kisamakiKmmk! La mama ako lilooza na kutoa harufu likakuzaa na wewe mtoto wake uvundo..!!
Ni kweliHuenda yale maelezo yake ndio yamemgharimu
Tushukuru kwa hiki kidogo?Ni kweli
Malaya wa uwt tutolee uchi wako mchafu hapa, mpelekee sponsor wako wassira..!!Mallayya usiyejua kuiosha,dolle moja kisamaki
EndeleeniTushukuru kwa hiki kidogo?