TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

Wakili Allute Lissu Mughwai ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefariki usiku wa kuamkia Leo Novemba 1, 2026.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Dada yake aitwaye Rose Masesa pindi alipozungumza na Jambo TV.

Jambo TV ilipotaka kufahamu chanzo cha kifo chake Rose ametueleza kuwa kwa sasa hawezi kuzungumza lolote huku akitueleza kuwa msiba upo jijini Arusha.

"Ni taarifa za kweli msiba upo Arusha na mimi naelekea huko" alisema Rose kwa ufupi.


===
Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia amethibitisha kutokea kwa msiba huu, amesema "Ni taarifa ya kweli, msiba umetokea na sasa viongozi wetu wanaelekea gerezani kuonana na Mwenyekiti baada ya hapo tutatoa taarifa rasmi na kamili"
Juzi tu alikuwa yupo fiti kweli maisha mafupi ,no one knows 2mrw.
 
View attachment 3702462

Picha hii ilichukukiwa siku tano zilizopita alipohojiwa na That Boy Khalifa wa The Chanzo. Je ni kweli kafariki ? Nini chaweza kuwa chanzo cha kifo? Michezo mibaya ya kisiasa? Au stress ya mdogo wake kusubiri hukumu ya kifo dhidi ya kesi ya uhaini huku akina Heche na Maria na Mange wakikataa maridhiano
Hata yeye Mzee Alute alikataa maridhiano, haamini ktk mambo ya hila, uongo na uzandiki..alisema wazi, kwenye mahojiano yuko genuine hakuna maigizo hapo..ni mjinga na mwendawazimu anayeweza kukubali kubebeshwa dhambi za wengine..rekodi zipo na ukweli uko wazi, unashawishi vp mtu kuomba kusamehewa km kosa lipo tena la kiwango hicho..Mzee Alute wamempa nafuu kuliko kubaki unasumbuliwa ubebe laana za kujitakia.
 
Hukumu ya Lissu inaweza kusogezwa mbele kutoa nafasi kwa Lissu kushiriki siku ya mwisho ya Kakake aweze kuzika.

Wale wanye kijiita Mawakili wa Lissu jumatatu waende Mahakamani kuomba Majaji inawezekana
kabisa ✍️
 
Dah aisee! RIP brother,

Hii nchi imekua kama ya wanyama pori tu, so hata kwa akili kisoda unatenganishaje haya matukio na mama? Tuna vyombo na maafisa mabwege sana yani! Nchi ipo kama jipu lililokwiva na bado wanaibua maukenge tu halafu wanataka maridhiano! Labda ya manyani
Ulitaka nani afe badala yake?
KIFO KILIUMBWA PIA!
 
Hakuna CCM ya Nyerere wala yasasa CCM ni moja tu ✍️

zaidi kulikuwa na Tanu Taa nk.

Hamuwezi kuchukua msiba wa nwana CCM mkaufanya wa kichadema Chadema :BanHammer:

Wana CCM mjiandae kubeba jukumu la kiongozi wetu wakili wa Serikali MSOMI nguli kabisa nasikitika kwakweli kumpoteza Mzee wetu ✍️
Hivi hamuoni aibu? Nyie machawa wa Veggies, muhusika alisha sema CCM wakati wa Nyerere sio hii ya sasa, kinachowafanya mchukue jukumu la msiba wake ni lipi? Kwanza ukute nyie wenyewe mme muua.
Toeni unafiki wenu hapa.
 
Back
Top Bottom