Ukishapenda kula nyama ya watu huwezi kuacha, Samia hatosheki na damu za watanganyika. Huyu alimkatalia kuomba msamaha kwa niaba ya TL, na kutoa siri hadharani, sasa amemuondoa harakaWakili Allute Lissu Mughwai ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefariki usiku wa kuamkia Leo Novemba 1, 2026.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Dada yake aitwaye Rose Masesa pindi alipozungumza na Jambo TV.
Jambo TV ilipotaka kufahamu chanzo cha kifo chake Rose ametueleza kuwa kwa sasa hawezi kuzungumza lolote huku akitueleza kuwa msiba upo jijini Arusha.
"Ni taarifa za kweli msiba upo Arusha na mimi naelekea huko" alisema Rose kwa ufupi.
===
Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia amethibitisha kutokea kwa msiba huu, amesema "Ni taarifa ya kweli, msiba umetokea na sasa viongozi wetu wanaelekea gerezani kuonana na Mwenyekiti baada ya hapo tutatoa taarifa rasmi na kamili"
kila muda unawaza tu watu kuuliwa dogo bana.Masikini wamemuua mzee wa watu w kwa sababu alisema kuna kiongozi mkubwa wa kitaifa alijaribu kumrubuni ili amshawishi Lissu alegeze msimamo wake, angejua watamuua bora angemtaja tu huyo kiongozi.
Ikiwa uongozi wa CDM bado una fikra kama zako,ni wazi itachukua muda mrefu Tanganyika kukombolewa.Nyie watu wa Mbowe nyie. Yaani kwa kuangalia interview tu ukajua yote haya. Kwa nini usisubiri hata ndugu waseme kafariki kwa ugonjwa gani? Hjui inawezekana kabisa jinsi Samia na kundi lake wasivyojali kuua, wameona kwenye ile interview angeweza ameweka siri nyingi hadharani wakamdhuru? Au wameona yeye ni kikwazo kwenye kufunika haya mauaji kwa ghlba ya maridhiano? Hata unavyoandika tu inaonyesha umefurahia na unataka watu waone ni kifo cha kawaida.
Umeanza kumjua tangu lini? Mbona siku zote huo ndiyo uongeaji wake?Alivyokuwa anaongea tu,nadhani hakuwa vizuri kiafya..
Huyu mzee ndiyo namna yake ya kuongea huongea kwa vituo wala siyo kuwa alikuwa mgonjwaAlivyokuwa anaongea tu,nadhani hakuwa vizuri kiafya..
Nimeumia sana , Mungu mpumuzishe pema peponiWakili Allute Lissu Mughwai ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefariki usiku wa kuamkia Leo Novemba 1, 2026.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Dada yake aitwaye Rose Masesa pindi alipozungumza na Jambo TV.
Jambo TV ilipotaka kufahamu chanzo cha kifo chake Rose ametueleza kuwa kwa sasa hawezi kuzungumza lolote huku akitueleza kuwa msiba upo jijini Arusha.
"Ni taarifa za kweli msiba upo Arusha na mimi naelekea huko" alisema Rose kwa ufupi.
===
Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia amethibitisha kutokea kwa msiba huu, amesema "Ni taarifa ya kweli, msiba umetokea na sasa viongozi wetu wanaelekea gerezani kuonana na Mwenyekiti baada ya hapo tutatoa taarifa rasmi na kamili"
R I P Thadei Ole Mushi.kila muda unawaza tu watu kuuliwa dogo bana.
msalimie lema
NA BADO UKAWA MSALITI KWA YALE ALIYOYAAMINI NA UKAWA MSALITI KWA NDUGU YAKE NYIE NDIO BINADAMU HAKIKA.Pole kwa wafiwa.
Katika safari yangu.
Niliwahi pitia kwake.