TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

Jamani the man was sick nz yeye mwenyewe kasema. Pressure, kisukari plus that age.
There is science, kwenye kifo chake mtu anlikuwa anasafiri majuzi tu na kufanya interview hakurukupi na kufariki.

Most likely kuna foul play (aina maana it’s a fact).
 
There is science, kwenye kifo chake mtu anlikuwa anasafiri majuzi tu na kufanya interview hakurukupi na kufariki.

Most likely kuna foul play (aina maana it’s a fact).
Labda. Lakini pia kifo ni fumbo sisi hatuwezi kujua. May he RIP
 
Are you a medic? His/her physician or even understand the pathophysiology of the condition he was living with to justify the deceased abrupt death?

Or else please don’t bother me with nonsense.
Accusations zako hazina base. Familia inasema ndugu yao kaumwa muda mrefu, marehemu kasema the same. Tusihukumu pengine ni natural death. Hujasikia hata asiyeumwa analala na haamki?
 
There is science, kwenye kifo chake mtu anlikuwa anasafiri majuzi tu na kufanya interview hakurukupi na kufariki.

Most likely kuna foul play (aina maana it’s a fact).
Kwamba juzi ukiwa mzima unafanya shunguli zako huwezi kufa kesho yake?
 
Accusations zako hazina base. Familia inasema ndugu yao kaumwa muda mrefu, marehemu kasema the same. Tusihukumu pengine ni natural death. Hujasikia hata asiyeumwa analala na haamki?
Did I accuse you or anyone of anything?

Other than asking if you knew of the deceased living with medical conditions and their ability to cause abrupt deaths.

Naanza na ustaarabu, thereafter najibu ujinga kwa ujinga.

Leave it, kwa sababu sipendi kujibizana na wajinga.
 
Your sick. Your suggesting jamaa aliuawa! Go to hell with your arrogance
 
Your sick. Your suggesting jamaa aliuawa! Go to hell with your arrogance
You were supposed to justify how the deceased medical condition could cause ‘abrupt death’.

Kibongo bongo bora liende.

Sasa endelea kunitafuta nikwambie marehemu ni matokeo foul play ya serikali.

Tafuta ugonjwa, nikupe kifo kinatokea.

Ndio msingi wa pathophysiology

Hili jukwaa limekuwa la wapuuzi sana.
 
Inawezekana pia. Mimi nilikuwa natoa tu angalizo.
 
wanaharakati walimshabulia sana na kusema analelewa sea clif
 
Kama itawezekana naomba maziko ya Allute Lissu yaahirishwe hadi tarehe 6 Novemba Tundu Lissu akitoka gerezani aje kumzika kaka yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…