TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

Hakika sote ni wa mwenyezimungu na kwake tutarejea 🙏
 
Huyu alikuwa mwana CCM mtiifu isipokuwa tuu damu ni nzito kuliko maji.

R.I.P
 
May his soul rest easy in peace. Amen.
 
"Katika mahojiano yake alibainisha yeye ni mwanaccm lakini CCM ile ya Mwl Nyerere si hii ya leo", huenda uasi huu ndio uliomuua, hakuna tofauti na kupotea kwa Nchimbi, ukiikana CCM wanachomoa fyuzi.
 
Umeeleweka vizuri sana katika lugha nyepesi. Sio kwetu raia wa kawaida tuu hata Madaktari, wahandisi, manesi, WANAJESHI, madereva nk nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…