TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

Pumzika kwa amani Baba yetu 🙏

Naumia sana kuona TAL anakosa kumuaga kaka yake katika mazishi. Too Sad 😓
Hii yote ni kwa sababu nchi iko mikononi mwa watu wasiostahili. Ni huyu kaka yake kama sijakosea alitoa ushuhuda siku chache zilizopita wa kufuatwa na kigogo wa chama tawala kumtaka aandike barua ya kumuombea msamaha mdogo wake ili atoke jela.
 

Hyo ndo ongea zake hivo kwa muda mwingi sana.

The guy was humble to the buttom, may God give him Eternal peace.
 
Yule ni mpemba sio mbrurushi
 
Nyie watu wa Mbowe nyie. Yaani kwa kuangalia interview tu ukajua yote haya. Kwa nini usisubiri hata ndugu waseme kafariki kwa ugonjwa gani? Hjui inawezekana kabisa jinsi Samia na kundi lake wasivyojali kuua, wameona kwenye ile interview angeweza ameweka siri nyingi hadharani wakamdhuru? Au wameona yeye ni kikwazo kwenye kufunika haya mauaji kwa ghlba ya maridhiano? Hata unavyoandika tu inaonyesha umefurahia na unataka watu waone ni kifo cha kawaida.
 
Inawezaka vipi afariki mara baada ya kufanya Interview ile? tutahitaji kujua aliongea na Kiongozi gani mkuu serikalini ambaye hakutaka ajulikane, CCM mnahusika na kifo hiki kwa 100%
Inasemekana ni madelu ndiye aliongea naye, na kwa historia Madelu ni mtu mwenye roho mbaya na ni muuaji lazima anahusika na kifo hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…