TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

Ukishapenda kula nyama ya watu huwezi kuacha, Samia hatosheki na damu za watanganyika. Huyu alimkatalia kuomba msamaha kwa niaba ya TL, na kutoa siri hadharani, sasa amemuondoa haraka
 
Ikiwa uongozi wa CDM bado una fikra kama zako,ni wazi itachukua muda mrefu Tanganyika kukombolewa.
 
Nimeumia sana , Mungu mpumuzishe pema peponi
 
Lala salama kaka, nenda kwa amani... ulituambia walitaka uandike Barua na ukakataa. Hukumu yoyote itakayo tolewa kwa mdogo wako bila haki na iwatafune wote waliohusika kumtesa mdogo wako Lissu .Walio husika na kukupa kashi kashi za kumuhangaikia mdogo wako na hadi wewe kutuambia habari za kuandika Barua Mungu wa Mbinguni awape adhabu stahiki. Mungu Mwenyezi na mwingi wa rehema na fadhira akupe makazi mema huko peponi...Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…