TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

R.I.P Bro.
 
Michadema msiba sio wao wanataka kukutana kama kumwambia Lissu tayali kashaambiwa !!!

Mwana CCM kindalindaki Chadema wanataka kuteka Msiba

Mwenyewe hakupenda Siasa za Chadema
Siasa zinafanywa na vichaaa watupu !!!!!
 
Michadema mkae mbali na Msiba yule ni mwana CCM kwa Card na kaongea waziwazi mwenyewe!!

Uchizi wenu pelekeni kwenye mambo yenu mengine

Haiwezekani Uchadema wa Lissu mkamvishe mwana CCM Mzee wetu mwenye kujitambua Rip Alute mughwai 🙏
 
RIP Mzee, lkn kwenye mahojiano yake ya juzi nilimsikia akisema amekuwa akiumwa kwa muda mrefu sasa
 
Hakuna CCM ya Nyerere wala yasasa CCM ni moja tu ✍️

zaidi kulikuwa na Tanu Taa nk.

Hamuwezi kuchukua msiba wa nwana CCM mkaufanya wa kichadema Chadema

Wana CCM mjiandae kubeba jukumu la kiongozi wetu wakili wa Serikali MSOMI nguli kabisa nasikitika kwakweli kumpoteza Mzee wetu ✍️
 
Upo sahihi
 
Loh! Inauma na kusikitisha sana.

SALA YETU:
EE Vwana Mungu wety, tunaomba, kama kuna mkono wa mtu kuhusiana na kifo hiki cha mtumishi wako Alute, Kaka wa mtumishi wako mlikia haki Tundu Lisu, tunaomba Mungu mkuu mwenye mamlaka yote, kwake huyo aliyehusika aliyehusika, hasira yako ikawake juu yake, hata akapate mapigo mara tatu ya hayo aliyoyafanya dhidi ya Alute. Na kama ni kwa mapenzi yako, Mungu wetu, Mungu wa huruma na faraja, tunaomba ukawajalie faraja ya kweli wanafamilia, marafiki na Watanzania wote tulioumizwa na msiba huu, na hasa kwa sababu mwanafamilia mmoja wa karibu wa marehemu yupo kifungoni kwa uonevu wa watawala, na huenda asipate muda wa kuunganika na wanafamilia wenzake katika kuhitimisha safari ya mwisho ya mwanafamilia mwenzake.

Ee Yesu Kristo ambaye kwa upendo wako, uliyekubali kuuacha utukufu wako hata ukaja Duniani, lakini wanadamu uliokuja kuwakomboa, wakakudhalilisha, wakakutesa, wakamwaga damu yako na kukutundika msalabani kwa matakwa ya watawala makuhani ambao hawakupenda kufundishwa wala kukosolewa, tunaomba sadaka yako hii ya ajabu ikawa sababu ya kumpokea mtumishi wako aliyekutumainia katika ufalme wako, na ushindi wako wa mauti, tunaomba ukatoe ushindi kwao wao wanaoililia haki, dhidi ya wadhulumu haki, kwa sababu Mungu wetu ni Mungu wa haki.

Ee Mungu tunaomba, Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa milele umwangazie, Roho ya Alute ipumzike kwa amani katika ufalme wako wewe uliye Mungu wa haki.

Mungu mfariji mkuu, ukawatazame kwa jicho la huruma na faraja wanafamilia wote wa Alute. Mungu nijalie mazingira mema ya kushiriki msiba huu kwa namna utakayoona yafaa.
 
Vikao vyao Viongozi Chadema watabaki waalikwa tu msijipe umuhimu kwa mwana CCM kisa kaka yake!!

Mtulie sisimizi nyie tena kwakutulia tuliii
Serikali ndio wanamjua vizuri marehemu sio nyinyi wacheni
shobo✍️
 
Misiba yenu mfanyaga Mbwembwe nyingi kama Watoto

Mwacheni Mzee Mughwai hazikwe kwa Amani ✅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…