Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sentensi sijaielewa, ngoja nipite tu niwaachie wengine wajadili“Mjue kuwa kama hujafanya transfer uwezekano wa aliyekuuzia kukuzunguka na kukuchezea ni mkubwa sana.”
Hivi watu huwa wanazaliwa na u-RC? Haiwezekani mfanyabiashara akawa RC? Nauliza tu lakini, maana sina jibu... Ni RC yupi mwenye uwezo wa kununuwa plot prime area Dar? Huyu Makonda amefanyakazi miaka mingapi? Ametowa wapi pesa?
Aende akashitaki kwenye kabuli chatoMakonda jela inamuita, anatuchokoza wakati wananchi tumempotozea kwa uovu wote alioufanya pamoja na mauwaji.
Sielewi Takukuru wanalipwa mshahara kwa kazi gani? Ni RC yupi mwenye uwezo wa kununuwa plot prime area Dar? Huyu Makonda amefanyakazi miaka mingapi? Ametowa wapi pesa?
Kwa taarifa hizi, inamaana Mjengo Sasa una hati mbili!? Moja iko kwa GSM,na Nyingine iko kwa Makonda! Sasa hapo hizo hati na Mikataba ichunguzwe na mamlaka husika ili kujua ukweli!!Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande wake ukiamini wenyewe ndiyo una umiliki halali wa eneo hilo.
Tayari GSM kupitia Mwanasheria, Alex Mgongolwa ameshajitokeza hadharani kuweka wazi kuwa GSM ndiye mmiliki halali wa eneo hilo licha ya kuwa hakuna sehemu waliyotaja jina la Makonda, wakati ambapo RC huyo wa zamani amesikika kupitia ‘clip’, mitandao ya kijamii na kunukuliwa na
Title deed ( one page, zile za kinondoni zenye mhuri wa motto) huwa inatoka mara moja tuu, kwishaaKwa taarifa hizi, inamaana Mjengo Sasa una hati mbili!? Moja iko kwa GSM,na Nyingine iko kwa Makonda! Sasa hapo hizo hati na Mikataba ichunguzwe na mamlaka husika ili kujua ukweli!!
Hivi wewe uliyeandika una akili kweli!Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande wake ukiamini wenyewe ndiyo una umiliki halali wa eneo hilo.
Tayari GSM kupitia Mwanasheria, Alex Mgongolwa ameshajitokeza hadharani kuweka wazi kuwa GSM ndiye mmiliki halali wa eneo hilo licha ya
Huyo nae ni mjanja mjanja flani hivi ana kaofisi pale maeneo ya manyanya.Huyo wakili kesi zake dhidi ya makampuni ya simu ziliyeyukia wapi?
Inawezekana alilimbikiza posho zake toka akiwa bunge la katiba ndio maana akaweza kununua....Makonda jela inamuita, anatuchokoza wakati wananchi tumempotozea kwa uovu wote alioufanya pamoja na mauwaji.
Sielewi Takukuru wanalipwa mshahara kwa kazi gani? Ni RC yupi mwenye uwezo wa kununuwa plot prime area Dar? Huyu Makonda amefanyakazi miaka mingapi? Ametowa wapi pesa?
Mbona Viongozi wengi tu Wana Majumba ya bei ghali kushinda hata hiyo ya Makonda na huwendi sema Takukuru!? GSM anataka kumdhulumu Dogo Mjengo alimuuzia au alimpa Kama kulipa fadhila za michongo yake michafu aliyokua anapiga, maana kipindi cha Magu walibanwa sana hadi wakaamuwa kubadilisha jina la Kampuni kutoka Home shopping Center hadi kua GSM! Au wwe unzani GSM imekuja ghafla tu Kama uyoga!?Makonda jela inamuita, anatuchokoza wakati wananchi tumempotozea kwa uovu wote alioufanya pamoja na mauwaji.
Sielewi Takukuru wanalipwa mshahara kwa kazi gani? Ni RC yupi mwenye uwezo wa kununuwa plot prime area Dar? Huyu Makonda amefanyakazi miaka mingapi? Ametowa wapi pesa?
Wafanye uchunguzi wa hizo Hati na hizo documents za Mikataba watajuwa ukweli wote!!Bashite kahamia kwenye UDALALI wa KITAPELI?!
Hata ukiwa na akili zisizo na akili kama MaCCM, bado utaona hiyo nyumba ni ya mfanyabiashara na sio vinginevyo.
Samia muue nyani bila kumtazama usoni, funga jela huyu ex-wako Bashite TAPELI.
Kuna muda mwingine Matola anawaza Kama anaishi nje ya Tanzania na hajui tabia ya Viongozi wetu wa sasa! Ana sahau kabisa kua lile Azimio la Arusha lilishwa vunjwa kitambo sana! Viongozi Sasa hivi kila mmoja anakula kwa urefu wa kamba yake!!Kuna ambae amewahi kuwa RC dar na hana plot kwenye prime area? [emoji23]
Vyeo wanavyopata huvipata kwa shida sana, Kuna ushirikina na umafia wa hali ya juu sana kwa hawa viongozi wetu
Wapo tayari kuua ili awe kiongozi, hao huwa hawacheki na kima kwenye kupata madaraka.
Ukitaka kujua hili nenda kajifanye unaziba deals zao.
Makonda amepora sana Watu na Baba yake mwendazakeGSM waache wizi mali za dhuluma zitawatokea puani
Kesi alishinda tatizo likaja wenye mamlaka ya kuamulu hukumu kutekelezwa ndo shida ilipoanzia SI unajua Tena wenye mamlaka ndo wenye hisa huko?Hahaha
Ova
Hana vithibitisho vyovyote, aliamini Magufuli ataishi milele.Katika hili msimpe moyo makonda Hata kidogo..Alitumia madaraka yake na nguvu kupora Hana documents na Kama aliuziwa aonyeshe vithibitisho vyote.
GSM ana akili kuliko huyo zero brain mshamba kutoka Kolomije.Hii sentensi sijaielewa, ngoja nipite tu niwaachie wengine wajadili
Kwani kuna mtu mwenye tatizo na Kasheku Msukuma au Rostam Azizi au Anthony Dialo?Hivi watu huwa wanazaliwa na u-RC? Haiwezekani mfanyabiashara akawa RC? Nauliza tu lakini, maana sina jibu
Ni bora ya matapeli, Makonda alikuwa anapora kinguvu, kama hutaki kumpa anachotaka ilibidi uhame nchi.Yaani Makonda hana hata 'sales agreement' hata serikali ya mtaa tuu haitambui manunuzi yake ya hicho kiwanja alafu anadai kiwanja ni chake, inawezakana kuna wafanyabishara wengi tuu kesha watapeli kwa style hii
Hakuna uchunguzi wowote, mjengo ni mali ya GSM, huyo zero brain mshamba kutoka Kolomije alichofanyiwa ni kama vile kina Kinje walikuwa wakiwahonga magari mademu wa mjini lakini kadi wanabaki nazo, ukizinguwa tu anatumwa dreva na funguo wa spea ukipaki gari tu sehemu ukirudi hukuti gari gari, nenda kashtaki Polisi uone kama kuna kesi ya mtu kujiibia gari lake mwenyewe ana kadi na ina jina lake.Kwa taarifa hizi, inamaana Mjengo Sasa una hati mbili!? Moja iko kwa GSM,na Nyingine iko kwa Makonda! Sasa hapo hizo hati na Mikataba ichunguzwe na mamlaka husika ili kujua ukweli!!
Akili siyo matakoo kwamba kila mtu anayo.Hivi wewe uliyeandika una akili kweli!
Kama kitu hujui kaa kimya, Home shopping center ilifungwa wakati wa utawala wa JK ukielekea ukingoni kwa kufuata taratibu zote za sheria za ufilisi.Mbona Viongozi wengi tu Wana Majumba ya bei ghali kushinda hata hiyo ya Makonda na huwendi sema Takukuru!? GSM anataka kumdhulumu Dogo Mjengo alimuuzia au alimpa Kama kulipa fadhila za michongo yake michafu aliyokua anapiga, maana kipindi cha Magu walibanwa sana hadi wakaamuwa kubadilisha jina la Kampuni kutoka Home shopping Center hadi kua GSM! Au wwe unzani GSM imekuja ghafla tu Kama uyoga!?
Mtu yeyote anayetetea Makonda ni mpuuzi ajabu. Makonda mwaka 2013 atapata wapi million mia!!! Makonda ni jambazi tu, acha ahenyeshweHana vithibitisho vyovyote, aliamini Magufuli ataishi milele.
GSM ana akili kuliko huyo zero brain mshamba kutoka Kolomije.
Kwani kuna mtu mwenye tatizo na Kasheku Msukuma au Rostam Azizi au Anthony Dialo?
Unauliza maswali ya kipumbavu kwa mtu ambaye hata pa kukaa alikuwa hana amelelewa na Samuel Sitta hiyo biashara amefanya lini? Au biashara ya viungo vya kina Ben Saanane?
Ni bora ya matapeli, Makonda alikuwa anapora kinguvu, kama hutaki kumpa anachotaka ilibidi uhame nchi.
Hakuna uchunguzi wowote, mjengo ni mali ya GSM, huyo zero brain mshamba kutoka Kolomije alichofanyiwa ni kama vile kina Kinje walikuwa wakiwahonga magari mademu wa mjini lakini kadi wanabaki nazo, ukizinguwa tu anatumwa dreva na funguo wa spea ukipaki gari tu sehemu ukirudi hukuti gari gari, nenda kashtaki Polisi uone kama kuna kesi ya mtu kujiibia gari lake mwenyewe ana kadi na ina jina lake.
Akili siyo matakoo kwamba kila mtu anayo.
Kama kitu hujui kaa kimya, Home shopping center ilifungwa wakati wa utawala wa JK ukielekea ukingoni kwa kufuata taratibu zote za sheria za ufilisi.
Wapo smart kuliko unavyofikiri, wanaelewa yajayo kabla yako hata huyu mjinga mjinga Makonda walishaujuwa mwisho wake ndio maana wakamwekea mtego wa panya.
Hivi kumbe hawa ndio Home shopping centerGSM wana rekodi mbaya ya dhulma tangu wakiwa ni Home Shopping centre.
Wanapata kibri kwa sasa shauri ya Msoga tu.
Ila siku zitaongea.......