Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
GSM ni mwekezaji Makonda ni tapeli tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema kweli watakuu mapema snKuna ambae amewahi kuwa RC dar na hana plot kwenye prime area? [emoji23]
Vyeo wanavyopata huvipata kwa shida sana, Kuna ushirikina na umafia wa hali ya juu sana kwa hawa viongozi wetu
Wapo tayari kuua ili awe kiongozi, hao huwa hawacheki na kima kwenye kupata madaraka.
Ukitaka kujua hili nenda kajifanye unaziba deals zao.
Makonda ni tapeli mkubwaMtu yeyote anayetetea Makonda ni mpuuzi ajabu. Makonda mwaka 2013 atapata wapi million mia!!! Makonda ni jambazi tu, acha ahenyeshwe
Kwa hiyo umekubali kuwa ni kweli GSM walimuuzia hilo eneo Makonda,na Sasa wanamnyanganya! Furuhaa yako inazidi kwa sababu unamchukia tu Makonda! Hapo sasa nimekuelewa kuwa maoni yako yanaongozwa na chuki ulio nayo dhidi ya Makonda!!Hana vithibitisho vyovyote, aliamini Magufuli ataishi milele.
GSM ana akili kuliko huyo zero brain mshamba kutoka Kolomije.
Kwani kuna mtu mwenye tatizo na Kasheku Msukuma au Rostam Azizi au Anthony Dialo?
Unauliza maswali ya kipumbavu kwa mtu ambaye hata pa kukaa alikuwa hana amelelewa na Samuel Sitta hiyo biashara amefanya lini? Au biashara ya viungo vya kina Ben Saanane?
Ni bora ya matapeli, Makonda alikuwa anapora kinguvu, kama hutaki kumpa anachotaka ilibidi uhame nchi.
Hakuna uchunguzi wowote, mjengo ni mali ya GSM, huyo zero brain mshamba kutoka Kolomije alichofanyiwa ni kama vile kina Kinje walikuwa wakiwahonga magari mademu wa mjini lakini kadi wanabaki nazo, ukizinguwa tu anatumwa dreva na funguo wa spea ukipaki gari tu sehemu ukirudi hukuti gari gari, nenda kashtaki Polisi uone kama kuna kesi ya mtu kujiibia gari lake mwenyewe ana kadi na ina jina lake.
Akili siyo matakoo kwamba kila mtu anayo.
Kama kitu hujui kaa kimya, Home shopping center ilifungwa wakati wa utawala wa JK ukielekea ukingoni kwa kufuata taratibu zote za sheria za ufilisi.
Wapo smart kuliko unavyofikiri, wanaelewa yajayo kabla yako hata huyu mjinga mjinga Makonda walishaujuwa mwisho wake ndio maana wakamwekea mtego wa panya.
Alikutapeli Nini!? Au ndiyo walewale mnaokimbiza mwizi bila kujuwa huyo mwizi kaiba nini!? Ukiiulizwa kaiba nini na wwe unasema sijui kaiba nini,ila wamkimbiza tu kisa una hasira sana na wezi!?Makonda ni tapeli mkubwa
Wewe dada angu acha kutetea uovu wa mumeoAlikutapeli Nini!? Au ndiyo walewale mnaokimbiza mwizi bila kujuwa huyo mwizi kaiba nini!? Ukiiulizwa kaiba nini na wwe unasema sijui kaiba nini,ila wamkimbiza tu kisa una hasira sana na wezi!?
Tukaongee na Gwajima amfufue baba yetu Magufuli, uonevu umezidi kwa wazalendoGSM waache wizi mali za dhuluma zitawatokea puani
GSM wana rekodi mbaya ya dhulma tangu wakiwa ni Home Shopping centre.
Wanapata kibri kwa sasa shauri ya Msoga tu.
Ila siku zitaongea.......
Makonda apate wapi million 120? Unaujuwa mshahara wa MRC?Kwa hiyo umekubali kuwa ni kweli GSM walimuuzia hilo eneo Makonda,na Sasa wanamnyanganya! Furuhaa yako inazidi kwa sababu unamchukia tu Makonda! Hapo sasa nimekuelewa kuwa maoni yako yanaongozwa na chuki ulio nayo dhidi ya Makonda!!
Ukiwa tajiri hata ukiwa muhuni kama GSM na Mo Dewji wewe invest pesa yako kwenye mpira, umma utakuwa nyuma yako.Hata mimi nimehisi hivyo…maana why now?!
Kwani ukiwa RC ndiyo huwezi piga ma deal!? Hao Viongozi wa Dini wenyewe wanapiga ma deal na wala hawamuogopi Mungu,Sasa itakuwa Makonda asipige deal kisa anamuogopa Baba yake Magu!? Matola usiwe Kama huwajui Watanzania na ma deal yao! Ma deal yapo kuanzia office kuu hadi kule chini kwa Mama Ntilie!!Makonda apate wapi million 120? Unaujuwa mshahara wa MRC?
Bahati yako siku hizi nimeacha uhuni mwenyewe kwa hiyari yangu, ndiyo maana siwezi kukujibu vibaya hata ukinitukana! Maana wabongo wengi mna nguvu sana mkiwa nyuma ya keyboard za simu zenu, lakini ungeniona live nazani hii kauli yako ungeijutia!!Wewe dada angu acha kutetea uovu wa mumeo
HahahahaUkiwa tajiri hata ukiwa muhuni kama GSM na Mo Dewji wewe invest pesa yako kwenye mpira, umma utakuwa nyuma yako.
Wendawazimu wote wapo sehemu mbili kwenye siasa na mpira.
Na yeye aniambie GSM mtaji wake alipewa na nani,au alipata wapi!?Akikujibu ni tag
Ova
Hapo wote wachaf wamekutana acha waoshaneeNa yeye aniambie GSM mtaji wake alipewa na nani,au alipata wapi!?
Ninakubaliana na wewe. Na unasema nini kuhusu Makonda?GSM waache wizi mali za dhuluma zitawatokea puani
Na vile dogo amepewa Wizara ya Land, tujipange kisaikolojia!!GSM wana rekodi mbaya ya dhulma tangu wakiwa ni Home Shopping centre.
Wanapata kibri kwa sasa shauri ya Msoga tu.
Ila siku zitaongea.......
M walishaelezea source ni baba yao ambaye amefariki last month alikuwa mfanyabiashara alianzia ruvuma akaja kusettle Tanga na wakaendeleza zaidi baada ya mzee kustaafu za kuwakabidhi wanae waendelee kusimamia biashara.Na yeye aniambie GSM mtaji wake alipewa na nani,au alipata wapi!?