Wakili amtaja mtu atakayemuokoa Makonda mgogoro dhidi ya GSM, afafanua kosa alilofanya kisheria

Umesema kweli watakuu mapema sn
 
Kwa hiyo umekubali kuwa ni kweli GSM walimuuzia hilo eneo Makonda,na Sasa wanamnyanganya! Furuhaa yako inazidi kwa sababu unamchukia tu Makonda! Hapo sasa nimekuelewa kuwa maoni yako yanaongozwa na chuki ulio nayo dhidi ya Makonda!!
 
Makonda ni tapeli mkubwa
Alikutapeli Nini!? Au ndiyo walewale mnaokimbiza mwizi bila kujuwa huyo mwizi kaiba nini!? Ukiiulizwa kaiba nini na wwe unasema sijui kaiba nini,ila wamkimbiza tu kisa una hasira sana na wezi!?
 
Alikutapeli Nini!? Au ndiyo walewale mnaokimbiza mwizi bila kujuwa huyo mwizi kaiba nini!? Ukiiulizwa kaiba nini na wwe unasema sijui kaiba nini,ila wamkimbiza tu kisa una hasira sana na wezi!?
Wewe dada angu acha kutetea uovu wa mumeo
 
GSM wana rekodi mbaya ya dhulma tangu wakiwa ni Home Shopping centre.

Wanapata kibri kwa sasa shauri ya Msoga tu.

Ila siku zitaongea.......

Hata mimi nimehisi hivyo…maana why now?!
 
Kwa hiyo umekubali kuwa ni kweli GSM walimuuzia hilo eneo Makonda,na Sasa wanamnyanganya! Furuhaa yako inazidi kwa sababu unamchukia tu Makonda! Hapo sasa nimekuelewa kuwa maoni yako yanaongozwa na chuki ulio nayo dhidi ya Makonda!!
Makonda apate wapi million 120? Unaujuwa mshahara wa MRC?
 
Hata mimi nimehisi hivyo…maana why now?!
Ukiwa tajiri hata ukiwa muhuni kama GSM na Mo Dewji wewe invest pesa yako kwenye mpira, umma utakuwa nyuma yako.

Wendawazimu wote wapo sehemu mbili kwenye siasa na mpira.
 
Makonda apate wapi million 120? Unaujuwa mshahara wa MRC?
Kwani ukiwa RC ndiyo huwezi piga ma deal!? Hao Viongozi wa Dini wenyewe wanapiga ma deal na wala hawamuogopi Mungu,Sasa itakuwa Makonda asipige deal kisa anamuogopa Baba yake Magu!? Matola usiwe Kama huwajui Watanzania na ma deal yao! Ma deal yapo kuanzia office kuu hadi kule chini kwa Mama Ntilie!!
 
Wewe dada angu acha kutetea uovu wa mumeo
Bahati yako siku hizi nimeacha uhuni mwenyewe kwa hiyari yangu, ndiyo maana siwezi kukujibu vibaya hata ukinitukana! Maana wabongo wengi mna nguvu sana mkiwa nyuma ya keyboard za simu zenu, lakini ungeniona live nazani hii kauli yako ungeijutia!!
 
Ukiwa tajiri hata ukiwa muhuni kama GSM na Mo Dewji wewe invest pesa yako kwenye mpira, umma utakuwa nyuma yako.

Wendawazimu wote wapo sehemu mbili kwenye siasa na mpira.
Hahahaha

Saluteee amigooo

Ova
 
Namshauri Makonda yeye awe tu mpenzi wa Yanga mambo yote yatakwisha.
 
GSM wana rekodi mbaya ya dhulma tangu wakiwa ni Home Shopping centre.

Wanapata kibri kwa sasa shauri ya Msoga tu.

Ila siku zitaongea.......
Na vile dogo amepewa Wizara ya Land, tujipange kisaikolojia!!
 
Mimi naona wa settle this out of court, wagawane 50/50 since they are BOTH not clean, (i just feel so,LOL),wanalipa watu kuchafuana, which doesnt help... wakae wamalizane,wakijifanya wajanja they are BOTH going down,,... LOL
 
GS
Na yeye aniambie GSM mtaji wake alipewa na nani,au alipata wapi!?
M walishaelezea source ni baba yao ambaye amefariki last month alikuwa mfanyabiashara alianzia ruvuma akaja kusettle Tanga na wakaendeleza zaidi baada ya mzee kustaafu za kuwakabidhi wanae waendelee kusimamia biashara.

Sasa huyo makalio ametoa wapi hizo Mihela maana by 2013 hakuwa na Mia alikuwa anauza mkaa huko kimara

By the time anapata Udc alikuwa Hana kitu sasa usiniambie amefanya biashara ingali yeye alikuwa RC hiyo biashara gani alifanya???

Najua unataka ubishi tu Ila unaelewa kabisa ukweli upo wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…