Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala(PhD) aitwa Polisi kutokana na maoni yake kuhusu bandari

Weweeee! Mipaka hiyo kaiweka nani? Mbona hamkumkamata mama yenu alipoita wenzake stupid! Watanzania wengine wajingaaaa, hasa wewe!
Ukijiona una akili kuliko wengine basi uko kwenye illusion state na kama ndio tabia yako basi unakalibia kupata ugonjwa wa akili, usifanye argumentation ukiwa na hasira utapoteza umakini na kuonekana ignorant. Laani huwa haitoki chini kwenda juu ila kuna seniority, a subjective one lazima ayatambue na kuyaheshimu mamlaka especially akiwa anafanya criticism. Unaongea " huyo mama yenu ukiwa ndani ya shimo kama panya akipita hapo tu unaachia mashuzi kwenye kaboka yako, kuwa na adabu kwa walio kuzidi na viongozi wako ebo!
 
Wezi wa Tanzania ni rahisi kuwadhibiti kama kuna usimamizi mzuri kuliko DP World yenu ambayo inampa uhalali wa kuitumia Tanganyika anavyotaka yeye kwa maslahi yake.


Wezi mmeshindikana Aisee

Hata mseme Nini uvumilivu juu yenu umeshindikana,

Na hakuna ulipoambiwa kuwa DP World anakuja kubinafsishiwa Port kuwen waelewa
 
Saa tisa (9:00) itakuwaje asubuhi?

Ndiyo, kama palikuwepo na kutishiwa usalama wake ni sahihi kuchunguza jambo hilo.
Lakini kama ni kutafuta njia za kumfunga mdomo, hilo halikubaliwi hata kidogo.
 
Haya unayosema hapa yanawezekana sana, tena toka pande zote mbili.

Mbaya zaidi upande wa mafisadi yaliyomo serikalini, siyo swala la ukwasi pekee walilo na uwezo nalo, bali hata uwezo wa kuwanunua CCM yote, watendaji wote wa serikali, Bunge, n.k., siyo kwa pesa pekee, bali hata kwa vitisho vya kudhuru.
Sijui kama hili nalo umeliwaza mkuu 'Mayor'?

Lakini katika yote hayo, usisahau kwamba kuna watu ambao hakuna bei inayoweza kuwanunua, iwe ni ya mali au vitisho. Wao bei pekee inayowatosha ni ustawi wa nchi yao na wanachi wake wote wanaoitwa waTanzania.

Kwa hiyo msiwe mnajiondoa akili nyinyi wenyewe na kujipongeza kwamba mnazijua sababu zinazoweka msukumo katika maswala ya namna hii.
Watu wanazo akili za kufkiri na kutafakari mambo wanayoyaona yakitokea ndani ya nchi yao na kujua yapi yanayosukumwa mbele kwa sababu zipi, toka pande zote mbili.

Msipende sana kuwadharau waTanzania, na kuwaona hawana akili za kutosha kuwa na uelewa mzuri.
 
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza,

kwamba serikali iliamua kuibnafisisha bandari ya dar,na nyinginezo nchini kwa kuwa ufanisi ni zero hivyo ikaona haja ya kuleta DPW kuinua ufanisi na mapato ya serikali

Imeelezwa kuna ukwepaji mkubwa wa ulipaji kodi na wizi mkubwa katika bandari zetu


Hii inamaanisha vyombo vya ulinzi na usalama havina msaada kwa taifa,yaani TISS,TAKUKURU,JESHI LA POLISI,MAGEREZA,JWTZ, TRA na vinginevyo ni mdebwedo hasa.


Swali: Vimeshindwaje kudhibiti haya madhira yanayotekea kwenye bandari zetu?, je viapo vyao ni bure kabisa? .ni kweli hivi vyombo vimeshindwa kukomesha uhuni bandarini?,huyu mgeni DPW ndio suluhisho?


Mpaka nchi inaingia mkataba wa kijinga na DPW,, yaani ili DPW akomeshe uhuni huo?, seriously kweli?


Na kama vinatimiza wajibu wake ,mamlaka ndio hazitaki kuchukua hatua visikibali kudhalilika namna hii,na viongozi wake wajiuzulu mara moja na haraka sana
 
DP World....

Tatizo sio maoni kuhusu mkataba wa bandari Ila matamshi makali yenye lugha isiyo nzuri.
Ni ipi iliyo "lugha nzuri", na kipimo cha hiyo lugha nzuri ni nani anakiweka na kukitumia?
 
Karamagi na Tibaijuka ni chanda na pete.

Tibaijuka na Nshala ni chanda na pete.

Karamagi = Tibaijuka = Nshala

Hakuna cha uzalendo wowote zaidi ya kikundi cha mafisadi tu hapo.
Kwa fikra zako unaona umesema kitu?
 
Wakubwa wa hivyo vyombo ulivyovitaja, wanaangalia kiapo kimoja tu, "cha UTII". kwa aliyewateua, basi.

Hawajua mambo ya sovereignty au nchi.
 
Unamfahamu DCI hapa nchini?! Anaitwa Ramadhani Kingai.
Huyu Kingai ni nani?! Ni yule aliyetengeneza movie ya ugaidi ya Mbowe na wale wanajeshi akina Urio. Rau Madukani kwa yule mama wa mbege. johnthebaptist anaijua sana hii movi. Hapo unategemea nini?
 
Na wanaoiba rasilimali zetu za inchi, kwa kigezo cha kubinafusisha hawavuki mipaka?
 
Bi kishundu katika ubora wake.saa100 alikuwa ananafsi ya kupambana na ufisadi na kuwa mbali na akina mwigulu, makamba na nape ,lakiin naina anajjiandaa ns lufeli zaidi ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…