Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Ukijiona una akili kuliko wengine basi uko kwenye illusion state na kama ndio tabia yako basi unakalibia kupata ugonjwa wa akili, usifanye argumentation ukiwa na hasira utapoteza umakini na kuonekana ignorant. Laani huwa haitoki chini kwenda juu ila kuna seniority, a subjective one lazima ayatambue na kuyaheshimu mamlaka especially akiwa anafanya criticism. Unaongea " huyo mama yenu ukiwa ndani ya shimo kama panya akipita hapo tu unaachia mashuzi kwenye kaboka yako, kuwa na adabu kwa walio kuzidi na viongozi wako ebo!Weweeee! Mipaka hiyo kaiweka nani? Mbona hamkumkamata mama yenu alipoita wenzake stupid! Watanzania wengine wajingaaaa, hasa wewe!