Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala(PhD) aitwa Polisi kutokana na maoni yake kuhusu bandari

Wanafanya KAZI sana, usiku na mchana,

Wanaona yote, na Ripoti wanatuma,

Kama huamini, aibuke mwingine mchapakazi uone kama hatokuta Kila kitu mezani!!!

Tusubiri.
 
kwan si selikal imeshasema itayafanyia kazi maoni yote au mnataka selikali gan itakayofanyia kazi maoni yenu.
 
Wapi imeandikwa au imesemwa Serikali inabinafsisha bandari ya Dar?
 
Ueledi uliishia awamu ya tatu awamu ya nne iliingia kuvuruga kila kitu

Sasa magu aliingia kurudisha kwenye mstari ameondoka awamu ya nne imetia nanga tena tunalo
 
Yaani afike saa 9 alfajiri? Kulikoni?
 
Tofautisha maoni na matusi
 
we mjinga sana watu wanapotosha umma afu waachwe huo utakuwa wendawazimu. hivi mnadhani mama samia hana wafuasi wake nao wakisema waanze taftana na wanaomtukana nchi itakalika hii?
 
Hivi serikali ya Tanzania chini ya chama cha mapinduzi unaona ipo serious kiasi gani kwenye majukumu yake ya msingi?

Swali kama hilo wewe utajibu nini?
 
Sema hivi kaitwa kutokana na matusi aliyomtukana Rais basi eti maoni!
 
Jibu jepesi ni kwamba serikali imeshindwa kutimiza majukumu yake; dawa ni kuwaondosha waingie wanaoweza.

Tungekuwa na bunge linalojitambua lingetusaidia kuiondosha hii serikali iliyoshindwa.
 
Sasa tuone mwisho wake, atashinda wakili au kilaza DPIT asiyejua hata kilochopo ktk vitendea kazi vyake vikuu GPO
 
DP World....

Tatizo sio maoni kuhusu mkataba wa bandari Ila matamshi makali yenye lugha isiyo nzuri.
ndg

Uko kwenye idadi ya wajinga Tz

maneno ,makali yapi ,huo wote niwoga kwasababu mmeshasikia Kuna kikao kizito Cha Dr slaa na Hawa watu
 
we mjinga sana watu wanapotosha umma afu waachwe huo utakuwa wendawazimu. hivi mnadhani mama samia hana wafuasi wake nao wakisema waanze taftana na wanaomtukana nchi itakalika hii?
Juha kama furushi la mawe wewe!

Hao ulowataja kama wanapotosha umma, njia bora ya kukabiliana nao ni kujenga hoja bora na zenye ushawishi kwa umma.

Siyo kutisha na kunyanyasa watu.

Bibi yenu huyo Samia anaongoza serikali ya banana republic!
 
Huo muda wa saa 9:00 asubuhi haijawahi kuwepo kwenye sayari hii. Na kwa msingi huo barua inakosa mashiko. Namshauri asiende kwani mudq aliopangiwa hautakaa ufike Hadi tunaingia kuzimu!
Mwandishi ni Kama amelazimishwa kuiandika na ama hakubaliani na hatua zinazochukuliwa na polisi.
 
wacha aende, amezidi kupayuka kwa jazba bila kujali kuwa uhuru wa kuongea unamipaka yake.
sio unabwabwaja tu bila kujali staha za watu wengine
Kwani aliyosema hayana substance kwamba ameongea uongo? 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…