Wakili Edward Heche atangaza kumuunga mkono Tundu Lissu aseme ni mtu pekee anayechukia rushwa kwa moyo na roho yake yote

Wakili Edward Heche atangaza kumuunga mkono Tundu Lissu aseme ni mtu pekee anayechukia rushwa kwa moyo na roho yake yote

Mbangaizaji wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
493
Reaction score
844
IMG-20241226-WA0135.jpg


Mpaka Sasa Mawakili wote Tanzània bila kujali I tikadi zao wanamuunga mkono TUNDU LISSU,
 
anapiga kura?
Utakuja kushangazwa sana, hata hao mnao dhani mtawanunua ili wawapigie kura kwenye hili la chama chao, akili zita warudia na kukataa kunuliwa kama bidhaa.
Tatizo lenu na hao wafadhili wenu huko CCM mnadhani waTanzania ni watu wa kununuliwa tu hovyo hovyo. Hizi pesa za waarabu zime waharibu sana akili nyinyi.
 
Mbali na kumuunga mkono, hata wakimuunga mguu Lissu na viberenge vyake hawataamini matokeo ya kwenye sanduku la kura.
 
View attachment 3185916

Mpaka Sasa Mawakili wote Tanzània bila kujali I tikadi zao wanamuunga mkono TUNDU LISSU,
Mawakili wote ni wapiga kura wa kumchagua mwenyekiti wa Chadema Taifa?

Hii hadith ya Mawakili inanirudisha nyuma na kunikumbusha enzi za Augustine Lyatonga Mrema,aligombea urais ,akawa anabebwa na washabiki na kuwekewa kanga ili atembee juu ya kanga, na washabiki.

Kumbe ilipofikia kipindi cha kupiga kura ,ikaja kujulikana kuwa washabiki wote walikuwa hawaja jiandikisha kupiga kura,hivyo wakashindwa kumchagua Mrema kuwa Rais
 
Mawakili niwakumbushe! Uchaguzi ujao sio wa kumchagua Rais wa TLS,bali ni uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti wa chadema Taifa!
 
Kama tunataka kweli mabadiliko ya kweli kwenye chadema na taifa letu, lissu ndo mtu pekee. Kuendelea na mbowe ni kuendelea yaleyale
Lissu anaishi wapi? Ili tusije kumchagua mwenyekiti asiye na makazi Tanganyika!
 
Back
Top Bottom