Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Mpaka Sasa Mawakili wote Tanzània bila kujali I tikadi zao wanamuunga mkono TUNDU LISSU,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Team Lisu ni kama Team WEMA tu
anapiga kura?View attachment 3185916
Mpaka Sasa Mawakili wote Tanzània bila kujali I tikadi zao wanamuunga mkono TUNDU LISSU,
Utakuja kushangazwa sana, hata hao mnao dhani mtawanunua ili wawapigie kura kwenye hili la chama chao, akili zita warudia na kukataa kunuliwa kama bidhaa.anapiga kura?
Sasa hivi team Mbowe inahangaika na wajumbe wapiga kura.anapiga kura?
ni ukoo wa john heche?Ukoo wa Heche wanaakili timamu
Mawakili wote ni wapiga kura wa kumchagua mwenyekiti wa Chadema Taifa?View attachment 3185916
Mpaka Sasa Mawakili wote Tanzània bila kujali I tikadi zao wanamuunga mkono TUNDU LISSU,
Kama tunataka kweli mabadiliko ya kweli kwenye chadema na taifa letu, lissu ndo mtu pekee. Kuendelea na mbowe ni kuendelea yaleyaleView attachment 3185916
Mpaka Sasa Mawakili wote Tanzània bila kujali I tikadi zao wanamuunga mkono TUNDU LISSU,
Lissu anaishi wapi? Ili tusije kumchagua mwenyekiti asiye na makazi Tanganyika!Kama tunataka kweli mabadiliko ya kweli kwenye chadema na taifa letu, lissu ndo mtu pekee. Kuendelea na mbowe ni kuendelea yaleyale
Ni kweli, mbowe anaweza kushinda kijanja huko chadema, lakini kwa umma itakuwa ni shughuli nzito kuungwa mkonoMbali na kumuunga mkono, hata wakimuunga mguu Lissu na viberenge vyake hawataamini matokeo ya kwenye sanduku la kura.
Wewe unadhani anaishi wapiLissu anaishi wapi? Ili tusije kumchagua mwenyekiti asiye na makazi Tanganyika!
Hata Saa100, uvhaguzi ujso,hatashida,ila ataongoza nchiNi kweli, mbowe anaweza kushinda kijanja huko chadema, lakini kwa umma itakuwa ni shughuli nzito kuungwa mkono