Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Wa kuliaYeye ni yupi Sasa hapo...rip
Yaaani sio mchezo kabisa .... hii mikoa hali sio nzuriDar,Arusha, Moshi kuna nuka Nimonia.
Mkuu inamaana unaipongeza serikali auinashangaza sana zamani NIMONIA ulikuwa ni ugonjwa wa watoto wachanga awamu ya TANO imefanya mabadiliko NEMONIA imekuwa ugonjwa wa wazee na wenye magonjwa nyemelezi
ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!
Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu