TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Kwa masikitiko makubwa sana Ndugu yetu Wakili Msomi Geofrey Noah amefariki dunia leo hii jijini Arusha kwa tatizo la upumuaji.

Mwanga wa milele amuangazie apumzike kwa amani. Amina.


Wakili.jpg

Wakili Noah(Kulia) enzi za uhai wake akiwa na Wakili Olengurumwa

Etx7apGXUAUL-vC.jpg

Wakili Noah enzi za uhai wake
 
Hali inasikitisha, kila siku tanzia zinaongezeka.

May his soul RIP🙏
 
  • Masikitiko
Reactions: BAK
RIP
Hii akili yenu etu wakili msomi sijui mnatoa wapi,.

Kuna wakili asisome? Huyo atakua katibu kata.

Mawakili wengi wao wanapewa hiyo calliber kutokana na vyeo vya baba zao.

Kakae nao kwenye vyungu wanatoka na pneumonia.

RIP Wakili msomi, yuko mwenzio kaoa mke field Marshall wa vyungu Gwajima.
 
inashangaza sana zamani NIMONIA ulikuwa ni ugonjwa wa watoto wachanga awamu ya TANO imefanya mabadiliko NEMONIA imekuwa ugonjwa wa wazee na wenye magonjwa nyemelezi
Mkuu inamaana unaipongeza serikali au
 
Back
Top Bottom