Ndiyo maana hawa high profile people wanaokufa najiuliza inamaana hawafuati mashariti ya kujikinga na Corona!? Au kuna kitu nyuma ya pazia ambacho wengi wetu hatukijuwi!?ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!
Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu
Kwa hiyo hao waliokufa, inamaana walikua hawachukuwi tahaadhari!?Ila tuchukue tahadhari, hali si nzuri. Tupunguze mikusanyiko na kusali kwa bidii. Naunga mkono sana msimamo wa mh Rais wetu lakini kuna kazi kubwa ya ku create awareness ili kupunguza vifo.
Na wwe zamu yako lini!? Siyo unataka kuangalia zamu za wenzio,angalia zamu yako ndiyo kitu muhimu kwako!!Bado jiwe
Kwa hiyo wanaobanana kwenye mwendo kasi,daladala ,Panton na masokoni uswahilini immune system yao kwenye Corona iko juu kuliko hao ma self drive ,wa keep social distance na waishio maeneo yasiyo ya uswahilini kwenye mbanano ambao mnasema wanakufa kwa Corona?Unasema huoni watu wakiumwa mtaani kwako? kwani huu ugonjwa unapimwa kwa macho? Mtu anaweza akawa na Covid-19 ila asionyeshe any symptoms,yaani kuna wengine wanapata huu ugonjwa mpaka wanapona bila wao kujijua,inategemea na immune system ya kila mtu,Science inathibitishwa kwa vipimo jomba na sio kwa macho,huwezi ukasema huna Covid-19 wakati hujapima.
Iko hiviajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!
Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu
Hasa jiwe. Ndiye aliyetufikisha hapa.Hii mpaka ilambe kichwa kimoja kati ya vichwa vile vitatu on top ndo tutaelewana
kila anayekufa postmortem hufanyikaNapenda kuwa taarifu wale wote wenye migogoro ndani ya ndoa zao,muwe makini,wengine watakitumia hiki kipnd Cha zogo la korona ,kumaliza kesi.maana hata akikusepesha watu tutasema Corona hiyo,kumbe hujuma za ndoa zenye migogoro.
Kama kweliajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!
Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu
Kwa Kiwango hiki cha Kinafiki hufai kuwa mwanadamu. Na ukupate huu ugonjwa ukose hata ambulance na ufe unahangaika. Ukakutane na Muumba wako akuulize Kama wewe alikuleta duniani Kufanya upumbavu kiasi hiki. Aibu yako mwanadamu wewe.mitaani hivyo vifo havipo mtaani kwangu tuna mwaka hatujazika hata paka aliyefariki hatuna kifo hata kimoja tunasikia tu uvumi tu toka kwa waongo na wazushi kama wewe kuwa ohhh watu kibao wanakufa kwa tatizo la kupumua !!!! mtaani kwetu tatizo hilo halipo na watu kutwa hubanana kwenye daladala kwenda na kurudi wakienda kutafuta maisha na mashuleni na vyuoni lakini hatuoni wakiumwa hilo tatizo la kupumua au kufa kwa tatizo hilo
Mkuu unamaanisha pale high table.....[emoji109][emoji106][emoji28][emoji23]Hii mpaka ilambe kichwa kimoja kati ya vichwa vile vitatu on top ndo tutaelewana
ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!
Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu
Watu wanakufa kwa magonjwa yao mengine wewe tajiri anakufa kwa kukosa hewa? gari anayotembelea ni AC full time ofisini AC na feni ipo nyumba AC na feni ipo madirisha makubwa sana hewa kibao hakai eneo lililobanana!!! ventillator mnasingizia tuKwa Kiwango hiki Cha Kinafiki hufai kuwa mwanadamu. Na ukupate huu ugonjwa ukose hata ambulance na ufe unahangaika. Ukakutane na Muumba wako akuulize Kama wewe alikuleta duniani Kufanya upumbavu kiasi hiki. Aibu yako mwanadamu wewe... Wakati mwingine Ni Bora kukaa kimya kuficha upumbavu wako. Hivi unajisikiaje mtu kuwa mnafiki na mzandiki kupitiliza?? Kisa tuu ugali na matembele?? Dah inaumiza Sana Taifa kuwa na watu Kama ninyi
how?Tanzania yote jombi hadi interior. Binafsi Niko safarini msibani.
Jiwe is very guilty!
Unajua walalahoi wana advantage maana Muda wote wako kwenye pilika pilika. Sasa hawa wasomi wanaotembelea makalio wako kwenye hatari zaid kwa sababu Muda mwingi miili Yao hawaishughulishi tangu anaamka asubuhi adi anarudi kulala, utakuta hajatoka hata tone la jasho, mwanzo mwisho ni kukaa tu. Na hapo ukute ana liugonjwa lake uko kishkaji, Mapresha wooii..covid ikimfika inakuwa hatunaye tena.mitaani hivyo vifo havipo mtaani kwangu tuna mwaka hatujazika hata paka aliyefariki hatuna kifo hata kimoja tunasikia tu uvumi tu toka kwa waongo na wazushi kama wewe kuwa ohhh watu kibao wanakufa kwa tatizo la kupumua !!!! mtaani kwetu tatizo hilo halipo na watu kutwa hubanana kwenye daladala kwenda na kurudi wakienda kutafuta maisha na mashuleni na vyuoni lakini hatuoni wakiumwa hilo tatizo la kupumua au kufa kwa tatizo hilo
Aisee,.tuombe Mungu sana sanaMimi hazipiti siku mbili mpaka nimechoka na nimeanza kuzoea