TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

kwa nini tusiwe wakweli tu na tukatafuta chanjo?.
 
Nadhani una malaria Kali, imepanda kichwani
 
Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!

Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.
Aaah wapi nna jirani yangu hapa ni mpanda daladala mzuri lakini kaipata na manusura imuondoe duniani.

Covid ipo tusipende denial as if ni special country hivi isiyo prone kwa magonjwa
 
Hawa ni baadhi ya watu waliyowahi kuugua Covid-19 na wakapona.

Anna Mghwila.

Mwana FA.

Salam SK.(meneja wa Diamond?)

Mtoto wa Magufuli.

Mtoto wa Mbowe.

Na sasa Maalim seifu amejitangaza kuumwa Covid-19, tunaimani atapona pia
Kwani hao waliopona hapo juu inathibitisha kuwa punguani walikuwa sahihi kudai kuwa Corona ni mafua kama mafua mengine?
 
Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!

Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.
UVCCM bhana😜😜😜
 
Kutoka kua gonjwa la watoto mpaka kua ugonjwa wa watu wazima tena unaoua kwa haraka haraka...mabadiliko haya yote ni ndani ya awamu ya tano
 
Hhhhh niomia!! Kwahiyo niomia imeshakua pandemic nayo? Inauma sana kupoteza hawa watu in two weeks😣😣
 
Attachments

  • arton157264-4a8be.jpg
    20 KB · Views: 1
Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!

Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.
Badru ndosi hatunae tena,mmoja wa wamiliki wa saba general
 
Mbeya ving'ora vya wagonjwa vinapita balaa
mbeya wanazaa sana kipindi hiki wodi za wazazi hadi wengine wanalala chini hospitali zimezidiwa wanyakyusa tu kuti ndaga kwa kuzaa hamjambo serikali iongeze ambulance mbeya hasa kipindi hiki
 
Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!

Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.
Hao kajambanani kama wewe wakidedi hawatangazwi. Wanazikwa fasta tu. Mbona hili halihitaji shule kulielewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…