Mbona kama masihara huwa hawawafanyii wazazi wao. Akamcheke mama ake au baba ake. Kibaya zaidi usikute hakumpigia hata kura huyo magufuli, na ndio sababu ya hizo dharau na dhihaka. Anajifanya ana trend na siasa za upinzani. Alipewa millioni 500. Angezisimamia vizuri sidhani hata kama angekuwa na huo muda wa kuleta dhihaka kwa rais. Pengine angekuwa bize na kina angela kairuki huko kwenye uwekezaji.Vijana mnajisahau sana kama ni uhuru sio kwa kiasi hicho.
This is Africa not America!
Sio dhihaka bhna! Mwana alicheka tuAcheni siasa, ile ni dhihaka na sio vinginevyo. Tupingane na Rais katika mambo ya msingi ila sio kumdhihaki.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Alipewa na aliyemcheka au alishinda alipokuwa anashindana?? Acha kukurupuka dogoMbona kama masihara huwa hawawafanyii wazazi wao. Akamcheke mama ake au baba ake. Kibaya zaidi usikute hakumpigia hata kura huyo magufuli, na ndio sababu ya hizo dharau na dhihaka. Anajifanya ana trend na siasa za upinzani. Alipewa millioni 500. Angezisimamia vizuri sidhani hata kama angekuwa na huo muda wa kuleta dhihaka kwa rais. Pengine angekuwa bize na kina angela kairuki huko kwenye uwekezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha haaaa, ila siku hizi kuna suti huwa zinalitoa balaa! Vipi ile t-shirt ya kwenye mawe? Gashinagha nang'ho uli-munhu?Kama ulikuwa mkubwa miaka hiyo utakumbuka hili, kuna picha za ‘Nkapa’ pia kipindi hicho majanga tupu.... sema huyu Mzee wetu hadi leo pigo zake za kijima tu.
Namhala wing’we alemugoola atadebile kuzwala chiza. [emoji28][emoji28][emoji28]
Labda Unang'ata Meno mkuuLione jioga! Ukiona kitu kinakuchekesha unafanyaje?
Au, mabeberu wa WHO wamemtuma nn?Nimeangalia ile sio commedy, alilenga kumdhalilisha Mkuu wa Nchi lazima achunguzwe huwenda kuna mtu anamtumia nyuma ya pazia
Hivi hapo kosa ni nini? mambo mengine ni kupoteza muda tu.Huyo kijana wamwache akae huko ajifunze
Kumcheka na lile suti lake la fundi abdallakamdhihaki nini pale ??
Mkulima wa mahindi
Sultan nae kichwa kizito mno,,kwanini ujitafutie shida kwa Jambo Kama Hilo?
Yani kuweka picha ya Magufuli akiwa amevaa suti oversize anaitwa na kuhojiwa?! Kwa kosa lipi na sheria gani?Ndio unaenda kujchekesha mbele ya watu!
Nyie ndio mnasababisha watubwasio na akili aina ya Mdude wanapat la tabu huko jela
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kucheka picha tu inakuwa nongwa? Picha ina hisia gani?Mdude wapi?
Hizi simu zimekuja kuondoa akili za vijana wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
basi nitajifunza kung'ata meno