Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

nukuu:"nitakupa Uhuru Wa kuongea, lakini sitakuhakikishia uhuru baada ya kuongea" AMINI DADA
 
His name is Jiwe...or you can call him "the bulldozer",don't mess with him
But remember,this is Tanzania,we are not pretending to be americans
But you're following the North Korean model huh? 😹😹. Maajabu.
 
ha ha ha...after that laughter, a video of the Ghana coffin dancers should come next
 
Huyo kijana wamwache akae huko ajifunze
Hapa ndipo tunapotofautiana na wazungu...wao wangechunguza why mtu aicheke picha ya Rais ili wakijua sababu walifanyie kazi haraka.

Kwetu Africa ni akanyee debe huyo ajifunze adabu.
 
Exactly, ukomunisti ni janga.

Nimegundua kuwarudisha watanzania kwenye sera za ukomunisti ni rahisi sana kwasababu tulianzia huko...
Exactly! Ukomunisti ni laana. Unanyima wananchi uwezo wa kufikiri huku ukiwafanya viongozi wawe miungu watu.
 
NCHI NA VIONGOZI WA NCHI HII NI TAKATAKA. HIVI ILE PICHA YENYEWE INACHEKESHA....MNATAKA WATU WALIE AU WAKAE NA HOFU?

EBU MWACHIENI HUYO KIJANA...HANA KOSA, RAIS MWENYEWE AMEVAA SUTI NI OVERSIZE LABDA AKITEGEMEA ATAKAA NAYO KWA MUDA MREFU.....MIMI BINAFSI NILIKUWA NA SUTI KUBWA KAMA HIYO KULINGANISHA NA UMBO LANGU, KWANI SHIDA NI NINI.

PICHA YENYEWE NI YA ZAMANI. ACHENI UJINGA NINYI POLISI NA DPP. HUU NI UONEVU MKUBWA.
 
JF na vituko vyake, Great Tinkers wameamini maneno yaliyotolewa BBC, Je, Mashitaka ni nini? Je, wameona kilichoandikwa kwenye shitaka? Kama hawajaona basi ni kujadili majungu na propaganda. Nchi haiendelei kwa wale wanaojiona Great Tinkers kujadili majungu na propaganda.
 
Tatizo unaitazama picha kwa jicho la leo, ingawa mkulu hata leo pigo zake ni magumashi ila hii kwa nyakati zao haikuwa kichekezo bali heshima... tunatoka mbali bwashee.

No mbona akina JK walikua wanakula vitu vya uhakika kuanzia enzi hizo. Hata TBT zao walikua wanavaa suti za kueleweka.
Jamaa yenu ni mjomba tangu zamani hadi sasa
 
Mzee ni mjima tangu zamani mpaka leo. Hata kuongea kiswahili fasaha tu ni shida.
 
Mkuu kwani hiyo picha ikoje mpaka rais wako achukie? Je hiyo picha ilipigwa na idrissa bila idhini ya rais au rais aliipiga mwenyewe na kwa hiari yake?
 
Tuliza makalio wewe utueleze amevunja sheria ipi kwa kucheka picha ya Magufuli?
 
Usisahau na miti
 
Nimeangalia ile sio commedy, alilenga kumdhalilisha Mkuu wa Nchi lazima achunguzwe huwenda kuna mtu anamtumia nyuma ya pazia
Kumbe kucheka siku hizi ni dhihaka ,kejeli nk...Yaani Lugola yupo mtaani lakini..Kuongozwa kwa ujinga ni ujinga mkubwa sana..Pia hiyo sio picha ya Rais tuache uongo
 
Acheni siasa, ile ni dhihaka na sio vinginevyo. Tupingane na Rais katika mambo ya msingi ila sio kumdhihaki.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Apo kwenye picha nani ni Rais?
Apo kwenye picha wakati inapigwa nani apo alikua Rais?
 
Kama ni wengi wanaofanya dhihaka hii inakuinesha hakubaliki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni siasa, ile ni dhihaka na sio vinginevyo. Tupingane na Rais katika mambo ya msingi ila sio kumdhihaki.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Lakini kama ni ile picha ya wa3, mbona mhusika alitokelezea tu?

Sema labda aina ya uwakilishaji wa ujumbe.

Naye huyo kijana atakuwa ni mtoto sana basi, enzi za six button alikuwa bado anatambaa au hajazaliwa kabisa?

Maana enzi zetu, bila kutinga aina hiyo ya kivazi, haujisikii bado!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…