Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Washauri wa Idriss sijui ni akina nani! Ile video tokea nilipoiona nilijua itamletea shida, kwa jinsi picha zile za ‘TBT’ za Rais zilivyoenea mitandaoni huku wengi wakifanya dhihaka haikufaa yeye kujifunga kibwebwe kuchekelea waziwazi.
Kwa hili umelivagaa Idriss, umepatikana..
HahahahaKwani yule anae muiga kuongea na kuvaa kutofauti gani na huyu anae cheka picha ya Rais? Wacheni upumbavu Watanzania kucheka picha ya Rais sio kumcheka Rais.......Labda alikuwa anamchekla fundi aliyeshona hiyo suti ya Rais......Tunarudishwa kwenye ukomonisiti...Wajinga nyie
Vipi na zile katun za masud kipanyaAcheni siasa, ile ni dhihaka na sio vinginevyo. Tupingane na Rais katika mambo ya msingi ila sio kumdhihaki.
Sent from my iPhone using JamiiForums
ImagineHii serikali ndio maana inaitwa ya kidekteta, unapata wapi muda wa kufuatilia vitu vidogo vidogo kama hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia ile sio commedy, alilenga kumdhalilisha Mkuu wa Nchi lazima achunguzwe huwenda kuna mtu anamtumia nyuma ya pazia
Ha ha ha haaaa, ila siku hizi kuna suti huwa zinalitoa balaa! Vipi ile t-shirt ya kwenye mawe? Gashinagha nang'ho uli-munhu?
Wajinga sisiKwani yule anae muiga kuongea na kuvaa kutofauti gani na huyu anae cheka picha ya Rais? Wacheni upumbavu Watanzania kucheka picha ya Rais sio kumcheka Rais.......Labda alikuwa anamchekla fundi aliyeshona hiyo suti ya Rais......Tunarudishwa kwenye ukomonisiti...Wajinga nyie
Wanajipendekeza kwa Port wangu Jiwe!Kuna watu wamekosa kazi.. hivi mtu unaanzaje kuendesha mashtaka ya kosa la ajabu kama hilo
.
Utoto bado umemjaa huyu kijanaKitu kinachomsumbua Idris ni views na likes za instagram, maana kwanza ile picha haichekeshi sana halafu hakuna haja ya yeye kudescribe
Nifah, samahani kwa swali, ni ile picha kasimama na marehemu mbunge Ndassa kavaa suti fulani kubwa katikati?.Acheni siasa, ile ni dhihaka na sio vinginevyo. Tupingane na Rais katika mambo ya msingi ila sio kumdhihaki.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Washauri wa Idriss sijui ni akina nani! Ile video tokea nilipoiona nilijua itamletea shida, kwa jinsi picha zile za ‘TBT’ za Rais zilivyoenea mitandaoni huku wengi wakifanya dhihaka haikufaa yeye kujifunga kibwebwe kuchekelea waziwazi.
Kwa hili umelivagaa Idriss, umepatikana...
Ni wazi Rais hakupendezwa na dhihaka zile, utayabeba machungu yake wewe mwenyewe!
Ukiponea hili uache kiherehere cha kurukia mambo, cheap stunts zitakuponza!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo la vijana ni wavivu kusoma ile sheria ya makosa ya kimtandao. hakuna uhuru usio na mipaka, alafu this is Afrika not europe, not USA Not Canada. tuna tamaduni zetu za kuheshimu waliotuzidi umri, hasa kama umri huo unafanana na wa mzazi wako.
Kuna wakati vaa viatu vya yule unayetaka kumdhihaki.
Umaarufu mwingine ni wa kipumbavu kabisa, anyee debe kwanza kwa muda atie adabuWashauri wa Idriss sijui ni akina nani! Ile video tokea nilipoiona nilijua itamletea shida, kwa jinsi picha zile za ‘TBT’ za Rais zilivyoenea mitandaoni huku wengi wakifanya dhihaka haikufaa yeye kujifunga kibwebwe kuchekelea waziwazi.
Kwa hili umelivagaa Idriss, umepatikana...
Ni wazi Rais hakupendezwa na dhihaka zile, utayabeba machungu yake wewe mwenyewe!
Ukiponea hili uache kiherehere cha kurukia mambo, cheap stunts zitakuponza!
Sent from my iPhone using JamiiForums