Hapana mkuu, swala la kesi ya kujibu lilishaamriwa mwanzoni kabisa baada ya rufaa ya Mbowe akipinga kuwa mahakama hii sio sahihi kusikiliza kesi hii na kuwa hati ya mashitaka ilikuwa na makosa. Kama upande wa mashitaka umesikilizwa na hautaondoa kesi, basi upande wa utetezi utasikilizwa pia. Swala la kuwa na kesi ya kujibu ni la DPP na hatua hii imevukwa - Sasa ni DPP kufuta kesi au wahitakiwa kukutwa au kutokutwa na hatia.Uwezekano mkubwa watakuwa hawana kesi ya kujibu baada ya Jamhuri kumaliza ushahidi.