Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

mlemavu lakini anakula ugali na kudunda. yuko wapi aliyemtia ulemavu,amegeuka ugali na funza
Kwahiyo Lissu ndio hatokufa kwa sababu alishakiepuka kifo? Shetani tu yupo hadi leo ila mitume wamekufa. Huyo Jiwe tu nae alishawahi kunusurika kifo cha sumu ila mwisho wa siku kafariki.
 
Wengi walikuulizai kama unavyosema watu watafute suluhisho ili atoke. Hebu jibu kama unavyoulizwa.

Watu hawafurahii jinsi kibatala anaavyouliza maswali kinachoshangaza ni kwamba walliofungua kesi na mashahidi ni hawo hawo lakni huwo ushahidi wanaoutoa hauendani na hoja zilizopo mahakamani ndio ukaona mashahidi wote wanapuyanga kytokana na ushahidi wanaoutoa wakimaliza kujibu waliyomezeshwa yaliyobakia ni sifahamu n.k..

Swali kama mdau unaechukia mbowe kufungwa hebu lete njia mbadala watu watumie ambayo anaweza kutoka bila ya shida yoyote.
Mkuu ukisoma btn the lines kwa examination anayoifanya kibatara utaona kuwa anacheza na sheria mtambuka,(raw technical) ambapo inazingatia kuwa unajua hili Ni kosa ila unachora kuonesha kuwa si kosa,

Na kwa bahati mbaya hum wengi hawajaenda kwenye content ya kibatara ila wamemchukua kibatara as if ccm na cdm there competing, Sasa ukichangia kwa mwenendo huo unagundua kutoka post ya mleta bandikk mpka wanaochangia kufikia btn the lines unaona kunasiasa ila si sheria,

Kwangu mm nikiondoa huo usiasa ndan naona mahojiano mazuri ambayo yanajenga kuujua ukwel, na swila amejitahid mno kuwa mtulivu kujibu, na isingekuwa ugonjwa bado namuona yupo very stable kuaccomplish,

Kunawatu wanahis anadanganya hapo ndpo siasa zinapoingia, nmushkru Sana jaji amekuwa fare amezingatia afya ya shahidi na hadhi ya mahakama pia..

Vinginevyo ukiondoa ushabiki wa kisiasa ambao pia kunawakat hata kibatara anauingiza kwa mbaali, nmejifunza mengi na ntajifunza mengi,

Ushauri tuifuatilie kesi kwa uwiano wa kisheria siyo kisiasa, maana huko mbele kunaweza kuwa na kuvunjika mioyo,[emoji102]
 
Yeah ni umbeya.

Jiulize inahusu nini hapa? Ndio maana nasema JF kuna umbeya wa kisiasa ndio kitu kilichotawala humu. Unadhani Bashite akikamatwa ndio suluhu ya matatizo yetu nchini? We unafikiri huyo Bashite na Sabaya ni kipimo cha kwamba sasa kuna haki inatendeka?
Shemeji yako Bashite ameua watu wengi sana, ni lazima haki za wajane na mayatima zikapatikane huko. Ni muhimu sana afike Mahakamani.
 
Ana upeo mkubwa sana, akikuuliza swali lake usipojibu anavyotaka atamuongezea part B,C, na D ndani ya muda mfupi bila shahidi kutegemea mpaka aingie kingi.

Huyu mtu ni mbaya sana kwa hawa jamaa zangu waliokaririshwa majibu ya kutoa mahakamani, kwa hali hii wataugua sana bora wakubali yaishe.
Mashaidi wamejaza choo cha mahakama, wamejikuta wanaharisha kila wakati...cc Swila
 
Shemeji yako Bashite ameua watu wengi sana, ni lazima haki za wajane na mayatima zikapatikane huko. Ni muhimu sana afike Mahakamani.
Wakati anayafanya hayo uliishia kupiga kelele tu kama ambavyo hata sasa kuna wengi tu ambao wanatakiwa kufikishwa mahakamani ila haipo hivyo, ila wewe endelea kuhangaika na Bashite tu.
 
Mkuu ukisoma btn the lines kwa examination anayoifanya kibatara utaona kuwa anacheza na sheria mtambuka,(raw technical) ambapo inazingatia kuwa unajua hili Ni kosa ila unachora kuonesha kuwa si kosa,
Hivi kumbe hata watesaji na wanaolazimisha mtu akubali kosa kwa kupigwa na nyaya za umeme kumbe nao wanaugua? Tunamtakia heri bwana Swilla apone haraka ili aje kizimbani aendelee na utulivu wake wa kujibu maswali ya Kibatala.
 
Hii ni mbinu sahihi kabisa na imefanywa makusudi kwa sababu hizi;
1. Urio ndio alikuwa mtoa habari mkuu wa kesi nzima.
2. Mkaguzi Swila ndiye aliyekuwa mpelelezi wa kesi hii. Yeye ndio aliyefungua kesi, kupewa maelekezo na Kinga, kuomba vyombo vya uchunguzi kufanya kazi zake na hata kumhoji mtoa taarifa na hata kuandika maelezo ya Kingai.

Baada ya watu hawa, kesi itakwenda haraka sana ili utetezi nao ulete mashahidi wao. Ninahofia kuwa kutakuwa na mashahidi wa utetezi wengi waliohusishwa na Kaaya, Urio na kesi ya ugaidi kuliko Mbowe. Nina dhana kuwa uchunguzi dhidi ya makomandoo inatokana na zile mambo za Kibiti - Mbowe aliingizwa tu baada ya kuona amewasiliana na Urio ambaye alikuwa na kazi ya kuchoma makomandoo wote wasio kazini!!
Pengine kama sielewi sawasawa lakini nadhani mashahidi wa utetezi wataletwa iwapo hakimu ataona kwamba washtakiwa wana kesi ya kujibu.

Kwa maana nyingine kesi inaweza kuishia hatua hii iwapo mashahidi wote wa jamhuri watamaliza, ikabainika kwamba washtakiwa hawana kesi ya kujibu.
 
Hapana mkuu, swala la kesi ya kujibu lilishaamriwa mwanzoni kabisa baada ya rufaa ya Mbowe akipinga kuwa mahakama hii sio sahihi kusikiliza kesi hii na kuwa hati ya mashitaka ilikuwa na makosa. Kama upande wa mashitaka umesikilizwa na hautaondoa kesi, basi upande wa utetezi utasikilizwa pia. Swala la kuwa na kesi ya kujibu ni la DPP na hatua hii imevukwa - Sasa ni DPP kufuta kesi au wahitakiwa kukutwa au kutokutwa na hatia.
Baada ya ushahidi wote wa Jamhuri, mahakama itapitia Ione kama kwa ushahidi huo, watuhumiwa wana kesi ya kujibu ama la. Kama itakuwepo basi watatakiwa kujitetea.
 
Hivi kumbe hata watesaji na wanaolazimisha mtu akubali kosa kwa kupigwa na nyaya za umeme kumbe nao wanaugua? Tunamtakia heri bwana Swilla apone haraka ili aje kizimbani aendelee na utulivu wake wa kujibu maswali ya Kibatala.
Mkuu, unaweza kuwa na ushahidi wa watuhumwa kufanyiwa hicho ulichokisema? Au utamke wazi kuwa unahusika na police ili tujue?? Nmesema hapo mkuu tukiacha miagamo ya kisiasa hii kesi haijapata mwenye kusema mshindi ila kama mtindo huu utaendelea itabidi kwa kwel kujiandaa kisaikolojia

Nliwahi kusema na ninarudia Tena, kesi za kisiasa zinapo geuzqa kuwa za kiheria huwa zinamadhara makubwa, ndo tutulie Sasa tuone matokeo..
 
Mkuu unaelewa kwamba point yangu si kutoka kwa Mbowe tu maana nimesema kwamba Mbowe si mtanzania wa kwanza kupewa kesi kama hiyo na hali ilivyo anaweza asiwe wa mwisho pia kupewa kesi za aina hiyo.

Fikiria tumefikaje huku na hali itakuaje huko mbele zaidi, tumia hii kesi kukutafakarisha na sio kuwaza tu kutoka kwa Mbowe halafu hujui kesho anapewa nani kesi kama hiyo.

Unakataa nini kuhusu watu kufurahia jinsi Kibatala anavyoulizwa maswali wakati wenyewe wanajieleza wazi kabisa mpaka wengine wanapendekeza ajengewe sijui sanamu.
Ni kweli hili linahitaji mjadala mrefu!
 
Mkuu, unaweza kuwa na ushahidi wa watuhumwa kufanyiwa hicho ulichokisema? Au utamke wazi kuwa unahusika na police ili tujue?? Nmesema hapo mkuu tukiacha miagamo ya kisiasa hii kesi haijapata mwenye kusema mshindi ila kama mtindo huu utaendelea itabidi kwa kwel kujiandaa kisaikolojia

Nliwahi kusema na ninarudia Tena, kesi za kisiasa zinapo geuzqa kuwa za kiheria huwa zinamadhara makubwa, ndo tutulie Sasa tuone matokeo..
Tuache ibaki hivyo!
 
Mkuu ukisoma btn the lines kwa examination anayoifanya kibatara utaona kuwa anacheza na sheria mtambuka,(raw technical) ambapo inazingatia kuwa unajua hili Ni kosa ila unachora kuonesha kuwa si kosa,
Mhh sijakuelewa vizuri hapo "very stable kuaccomplish" je ana-accomplish nini?
 
Mimi nataka muyatafakari hayo matatizo ya aina zote iwe ya nchi,wapinzani au kesi za kubambikiwa kwa yeyote yule maana haijaanza kwa Mbowe tu.
Lakini cha kusikitisha utafikiri hayo matatizo yanatokea nchi jirani na si mambo ambayo yanatukuta sisi wenyewe, Mbowe kapewa kesi ya ugaidi anakonda kule ila sisi huku tunaona kawaida tu ndio kwanza tunaburudika na maswali ya Kibatala kana kwamba hayo maswali ya Kibatala ndio yatazuia wasimfunge Mbowe hali ya kuwa tunajua hali ya mahakama zetu ilivyo.
Hii Ndio post uliyoelezea kwamba watu wafuate? Au sijaielewa ulichokusudia hapo?
 
Hii Ndio post uliyoelezea kwamba watu wafuate? Au sijaielewa ulichokusudia hapo?
Ndio post niliyoelezea hoja yangu ni ipi, au mkuu wewe ulikuwa unataka nikwambie jinsi gani ya kufanya ili Mbowe atoke huko gerezani?
 
Back
Top Bottom