Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

mlemavu lakini anakula ugali na kudunda. yuko wapi aliyemtia ulemavu,amegeuka ugali na funza
Kwahiyo Lissu ndio hatokufa kwa sababu alishakiepuka kifo? Shetani tu yupo hadi leo ila mitume wamekufa. Huyo Jiwe tu nae alishawahi kunusurika kifo cha sumu ila mwisho wa siku kafariki.
 
Mkuu ukisoma btn the lines kwa examination anayoifanya kibatara utaona kuwa anacheza na sheria mtambuka,(raw technical) ambapo inazingatia kuwa unajua hili Ni kosa ila unachora kuonesha kuwa si kosa,

Na kwa bahati mbaya hum wengi hawajaenda kwenye content ya kibatara ila wamemchukua kibatara as if ccm na cdm there competing, Sasa ukichangia kwa mwenendo huo unagundua kutoka post ya mleta bandikk mpka wanaochangia kufikia btn the lines unaona kunasiasa ila si sheria,

Kwangu mm nikiondoa huo usiasa ndan naona mahojiano mazuri ambayo yanajenga kuujua ukwel, na swila amejitahid mno kuwa mtulivu kujibu, na isingekuwa ugonjwa bado namuona yupo very stable kuaccomplish,

Kunawatu wanahis anadanganya hapo ndpo siasa zinapoingia, nmushkru Sana jaji amekuwa fare amezingatia afya ya shahidi na hadhi ya mahakama pia..

Vinginevyo ukiondoa ushabiki wa kisiasa ambao pia kunawakat hata kibatara anauingiza kwa mbaali, nmejifunza mengi na ntajifunza mengi,

Ushauri tuifuatilie kesi kwa uwiano wa kisheria siyo kisiasa, maana huko mbele kunaweza kuwa na kuvunjika mioyo,[emoji102]
 
Shemeji yako Bashite ameua watu wengi sana, ni lazima haki za wajane na mayatima zikapatikane huko. Ni muhimu sana afike Mahakamani.
 
Mashaidi wamejaza choo cha mahakama, wamejikuta wanaharisha kila wakati...cc Swila
 
Shemeji yako Bashite ameua watu wengi sana, ni lazima haki za wajane na mayatima zikapatikane huko. Ni muhimu sana afike Mahakamani.
Wakati anayafanya hayo uliishia kupiga kelele tu kama ambavyo hata sasa kuna wengi tu ambao wanatakiwa kufikishwa mahakamani ila haipo hivyo, ila wewe endelea kuhangaika na Bashite tu.
 
Mkuu ukisoma btn the lines kwa examination anayoifanya kibatara utaona kuwa anacheza na sheria mtambuka,(raw technical) ambapo inazingatia kuwa unajua hili Ni kosa ila unachora kuonesha kuwa si kosa,
Hivi kumbe hata watesaji na wanaolazimisha mtu akubali kosa kwa kupigwa na nyaya za umeme kumbe nao wanaugua? Tunamtakia heri bwana Swilla apone haraka ili aje kizimbani aendelee na utulivu wake wa kujibu maswali ya Kibatala.
 
Pengine kama sielewi sawasawa lakini nadhani mashahidi wa utetezi wataletwa iwapo hakimu ataona kwamba washtakiwa wana kesi ya kujibu.

Kwa maana nyingine kesi inaweza kuishia hatua hii iwapo mashahidi wote wa jamhuri watamaliza, ikabainika kwamba washtakiwa hawana kesi ya kujibu.
 
Baada ya ushahidi wote wa Jamhuri, mahakama itapitia Ione kama kwa ushahidi huo, watuhumiwa wana kesi ya kujibu ama la. Kama itakuwepo basi watatakiwa kujitetea.
 
Hivi kumbe hata watesaji na wanaolazimisha mtu akubali kosa kwa kupigwa na nyaya za umeme kumbe nao wanaugua? Tunamtakia heri bwana Swilla apone haraka ili aje kizimbani aendelee na utulivu wake wa kujibu maswali ya Kibatala.
Mkuu, unaweza kuwa na ushahidi wa watuhumwa kufanyiwa hicho ulichokisema? Au utamke wazi kuwa unahusika na police ili tujue?? Nmesema hapo mkuu tukiacha miagamo ya kisiasa hii kesi haijapata mwenye kusema mshindi ila kama mtindo huu utaendelea itabidi kwa kwel kujiandaa kisaikolojia

Nliwahi kusema na ninarudia Tena, kesi za kisiasa zinapo geuzqa kuwa za kiheria huwa zinamadhara makubwa, ndo tutulie Sasa tuone matokeo..
 
Ni kweli hili linahitaji mjadala mrefu!
 
Tuache ibaki hivyo!
 
Mkuu ukisoma btn the lines kwa examination anayoifanya kibatara utaona kuwa anacheza na sheria mtambuka,(raw technical) ambapo inazingatia kuwa unajua hili Ni kosa ila unachora kuonesha kuwa si kosa,
Mhh sijakuelewa vizuri hapo "very stable kuaccomplish" je ana-accomplish nini?
 
Hii Ndio post uliyoelezea kwamba watu wafuate? Au sijaielewa ulichokusudia hapo?
 
Hii Ndio post uliyoelezea kwamba watu wafuate? Au sijaielewa ulichokusudia hapo?
Ndio post niliyoelezea hoja yangu ni ipi, au mkuu wewe ulikuwa unataka nikwambie jinsi gani ya kufanya ili Mbowe atoke huko gerezani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…