Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Nashauri mngeacha huku kufurahia maswali ya Kitabala na kufikiria hali ya mwenzenu kule hamjaona alivyokonda? Mngefikiria jinsi ya kupata suluhisho la haya matatizo kabisa ila nyie mnaishia kupiga domo humu ila manyanyaso yanaendelea siku zote.
Wewe pia mbona unapiga domo! Leta suluhu ya manyanyaso yaliyopo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Unataka twende kuvunja Gereza la Ukonga na Kumtoa FAM kinguvu ?
Ndio akili yako inakutuma hivi ?
Akili yangu hata haifikirii kuachiwa au kufungwa kwa Mbowe maana yeye si mtanzania wa kwanza kuwa na kesi kama hiyo. Akili yangu inaniambia kuwa hivi ni lini tutasema kuwa basi haya mambo yanatosha na tukaonesha kuwa kweli haya mambo yametuchosha na tunayachukia? Ila ndio kwanza tunaburidika na Kibatala hatuna tunalowaza.
 
Wewe pia mbona unapiga domo! Leta suluhu ya manyanyaso yaliyopo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kabla ya kuniambia mimi niletee suluhu je wewe ushawahi kufikiria hilo suala au huku kufurahia maswali ya Kibatala ndio suluhu mliyopendekeza? Labda nikwambie kwamba hata ikitokea Mbowe akashinda hii kesi bado hiyo sio suluhu.
 
Hayo maswali ya kawaida sana, labda kama hujui nini maana ya cross examination.
Hayo maswali yakawaida sawa tuseme wewe ndio mpelelezi wa kesi hiyo

Kibatala kakuuliza; kama wewe ulikuwa mpelelezi wa hii kesi ulishawahi kwenda 92KJ kujua Urio yupo kazini?
Nipe jibu
 
Acha haki itendeke,,kwa kuteswa kwake sisi tutapona!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mnapona vp sasa unaweza kuelezea? Halafu kwanza ni wanafki na wabinafsi, yani wenzenu wateseke wafirisiwe kwa ajiri yenu ila nyie hampo teyari kupitia wanayoyapitia.

Lissu katiwa hadi ukilema ila ile 2020 kawaambia muandamane tena kwa faida yenu wenyewe ila nini kilitokea? Kwanza mtu anakwambia hakwenda kwa sababu ya polisi. Nyie mnachoweza ni kupiga umbeya wa kisiasa humu basi na kujiona mnajadili masuala muhimu ya kitaifa kama hivyo kujadili maswali ya kibatala.
 
Leta uthibitisho wa hizo tuhuma acha mkumbo. Unafikiri Mungu ni wa CHADEMA tuu.
Mungu siyo wa chadema sawa
Kumbuka mlimpiga risasi 30 ila Mungu ni mkuu Sana
Mungu akasema hapana inatokea
Ndipo Mungu akaona kilio cha watu ndipo msiba ukatokea bado mkaificha maiti na kudanganya kwa uma raisi anapiga kazi anawasalimia kumbe anaoza taratibu
 
Suluhisho unalolijua kama binadamu ni lipi ili yeye atoke.
Yeye kutoka sio suluhisho, hii kesi ni mfululizo tu wa matatizo tuliyonayo na Mbowe sio wa kwanza kupewa kesi za aina hiyo.
Hivyo Mbowe kutoka sio suluhisho la tatizo tulilonalo.
 
Kifo sio adhabu kila mtu atakufa na ndio maana hadi mitume wamekufa. Kwanza haya mambo ya kumuhisisha Mungu katika haya masuala nadhani si sahihi, ccm ipo hadi leo unafikiri kwanini Mungu hajaitoa madarakani?
 
Kifo sio adhabu kila mtu atakufa na ndio maana hadi mitume wamekufa. Kwanza haya mambo ya kumuhisisha Mungu katika haya masuala nadhani si sahihi, ccm ipo hadi leo unafikiri kwanini Mungu hajaitoa madarakani?
Kama kila mtu atakufa kwanini mlimpiga risasi 30?
Si mngeshauriana kwamba tusimpige risasi kwakuwa kila mtu atakufa
 
Huyu bwana stahili yake ni kukuhoji kwa muda mrefu sana. Yaani kielelezo kimoja kinaweza kwake kikawa na maswali Zaidi ya 25. Ana utaratibu wa
Shahidi leo kavurugwa. Kajichanganya sana. Hata Jaji leo kaona wacha ikae hivyo hivyo.
 
Kwa ninanvyoona ni kweli kabisa Mbowe alihitaji walinzi.

Lakini Mbowe alikuwa kakifatiliwa sana. Ktk kutafuta namna ya kumdhibiti washaku naku waligundua mbowe ana mawasiliano na Lt.

Ndio hapo Lt alitafutwa wapate kujua wanawasiliana naye nini?

baada ya hapo wakaingia kwenye Fabrication Industry na Injinia akiwa Boaz, CEO Hayati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…