Another street lawyer🤣🤣mtoa mada nafikiri hujui kitu kuhusu sheria kibatala ni kama mwanamke wa kizaramo huwezi kumshinda kwa kushindana naye kuongea lakini kinachotakiwa pale ni point za shahidi kueleweka tu hayo maswali ya kumchanganya hayana point yoyote chamuhimu kimeshapatikana maelezo ya shaghidi yaliyobaki ni kama yale tunaitaga mazungumzo baada ya habari yaani anapoteza muda tu mbowe tayari yuko kitanzini hata kibatala anajuwa lakini anajifanya kupoteza muda wa watu tu hana kitu kibatala kama mwanamke wa kizaramo tantalila nyingiiiii lakini hakuna point za maana
Tatizo kweny maswali hata ukipewa desa...Sasa wewe mtu mzima tena afisa mkubwa wa Police 👮 yakimtokea hayo urafurahi.
Na siku zote ukitaka kuonyesha kipaji chako cheza timu pinzaniHii ni project ya muda mrefu aliyoifanya Mbowe kurecruit vijana wasomi akianza na lissu km mentor wa Hawa kina kibatala naona wanazidi kuongezeka kina nashon nkungu,dickson matata etc wanavutia kuwasikiliza hd unatamani kuwasomesha wanao law
OK, ni kama nimekusoma hivi.Hii ni mbinu sahihi kabisa na imefanywa makusudi kwa sababu hizi;
1. Urio ndio alikuwa mtoa habari mkuu wa kesi nzima.
2. Mkaguzi Swila ndiye aliyekuwa mpelelezi wa kesi hii. Yeye ndio aliyefungua kesi, kupewa maelekezo na Kinga, kuomba vyombo vya uchunguzi kufanya kazi zake na hata kumhoji mtoa taarifa na hata kuandika maelezo ya Kingai.
Baada ya watu hawa, kesi itakwenda haraka sana ili utetezi nao ulete mashahidi wao. Ninahofia kuwa kutakuwa na mashahidi wa utetezi wengi waliohusishwa na Kaaya, Urio na kesi ya ugaidi kuliko Mbowe. Nina dhana kuwa uchunguzi dhidi ya makomandoo inatokana na zile mambo za Kibiti - Mbowe aliingizwa tu baada ya kuona amewasiliana na Urio ambaye alikuwa na kazi ya kuchoma makomandoo wote wasio kazini!!
Shemeji yako Bashite siku atakapojitokeza Mahakamani tu, suala la Lissu litaanzia hapo pia. Unadhani ni kwanini yuko MAFICHONI? Time will tell..Sio kwa sasa tu hamjawahi kuwa na la kufanya, Lissu yule pale katiwa kilema kuna ambalo mlifanya? Ila kama ulivyosema tuendelee kufurahia maswali ya Kibatala na huyo Mbowe muache aendelee kukonda sasa akihukumiwa kabisa sijui itakuaje.
Wakili anapo uliza jibu huwa analo, ukidanganya atazidi kukuzungusha na maswali mpaka ufike kwenye jibu la ukweli, au ukatae kujibu.Kibatala kumshinda kwake ni uwe unasema ukweli pindi anapokuuliza maswali yake. Sasa kama ukweli wenyewe ndo unakufunga basi itakula kwako
Kusikia haja anaenda chooni kusoma vitini. Wakipekuliwa utashangaa mifuko ya suruali imejaa vikaratasi.Na huyu wa leo wa tatu kuugua,
Na cha ziada yeye hujisikia haja mara kwa mara.
Sipati picha Lissu angekuwepo kufanya collabo na kibatala daaah mashahidi wengi wangekimbia
Mimi nilitaka wamfikirie mwenzao kule anakonda na wafikirie ni jinsi gani ya kupata suluhisho la kuondokana na haya manyanyaso yote haya ila ajabu ndio kwanza wanafurahia maswali ya Kibatala.
Hata kama hawana la kufanya ila ndio wafurahie maswali ya Kibatala wakati mwenzao hadi sasa keshakonda na wakiamua wanaweza kumfunga na hayo maswali ya Kibatala ndio yatakuwa na msaada upi sasa?
Na ni kweli wapo wanene km kawaida!Kule utakonda ww mzee wao wanapelekewa msosi mzr kila siku
Mwenye picha ya insp swila atuwekee hapa tafadhari, maana tunahitaji kuona hadi sura yake.Huyu bwana stahili yake ni kukuhoji kwa muda mrefu sana. Yaani kielelezo kimoja kinaweza kwake kikawa na maswali Zaidi ya 25. Ana utaratibu wa kuhoji mpaka kufikia muda wa kuhairisha ili siku inayofuata aje na nguvu mpya na mawazo mapya. Amekuwa sana na utaratibu huo ambao kwa kweli umekuwa ukiwachanganya sana mashahidi.
Asingeambiwa aumwe, jana angeharibu kesiHuyu bwana stahili yake ni kukuhoji kwa muda mrefu sana. Yaani kielelezo kimoja kinaweza kwake kikawa na maswali Zaidi ya 25. Ana utaratibu wa kuhoji mpaka kufikia muda wa kuhairisha ili siku inayofuata aje na nguvu mpya na mawazo mapya. Amekuwa sana na utaratibu huo ambao kwa kweli umekuwa ukiwachanganya sana mashahidi.
Shahidi wa leo Swila ambaye leo ilikuwa siku yake ya tatu kuhojiwa tayari ameshachoka sana kwani hakumbuki tena aliyoyaongea juzi wakati akihojiwa na mawakili wengine, leo amekuja tayari kishasahau kila kitu utafikiri hakufanya rehearsal, hii ni ajabu sana.
Baada ya kuona leo anazidi kulemewa ilibidi Wakili wa Serikali anayeongoza jopo lao amsogelee na kumwelekeza amwombe Jaji kuhairisha kwa ajili ya tatizo la kiafya - Shahidi mwenyewe inaonesha alikuwa ana uwezo wa kuendela lakini wakili wake kaamua kuingilia kati ili wakampe nafasi ya kujipanga upya kutokana na namna ambavyo ameshavurunga!
Kibata Mwenyezi Mungu azidi kukubariki sana. Hukumu ya Mahakama ikitofautiana na umma tunavyoona basi Jaji huyu atakuwa na roho ngumu sana.
Anyway Acha Ibaki Hivyo!
Nyi chadema acheni kujipa moyo mwenyekiti anateseka kule ndani fanyeni namna muliuaminisha umma muna wanachama milioni 8, Zitto alipomuombea kwa mama mkaja juu wakati mbowe mwenyewe alibariki Zitto kumuombea msamaha kwa mama.,Huyu bwana stahili yake ni kukuhoji kwa muda mrefu sana. Yaani kielelezo kimoja kinaweza kwake kikawa na maswali Zaidi ya 25. Ana utaratibu wa kuhoji mpaka kufikia muda wa kuhairisha ili siku inayofuata aje na nguvu mpya na mawazo mapya. Amekuwa sana na utaratibu huo ambao kwa kweli umekuwa ukiwachanganya sana mashahidi.
Shahidi wa leo Swila ambaye leo ilikuwa siku yake ya tatu kuhojiwa tayari ameshachoka sana kwani hakumbuki tena aliyoyaongea juzi wakati akihojiwa na mawakili wengine, leo amekuja tayari kishasahau kila kitu utafikiri hakufanya rehearsal, hii ni ajabu sana.
Baada ya kuona leo anazidi kulemewa ilibidi Wakili wa Serikali anayeongoza jopo lao amsogelee na kumwelekeza amwombe Jaji kuhairisha kwa ajili ya tatizo la kiafya - Shahidi mwenyewe inaonesha alikuwa ana uwezo wa kuendela lakini wakili wake kaamua kuingilia kati ili wakampe nafasi ya kujipanga upya kutokana na namna ambavyo ameshavurunga!
Kibata Mwenyezi Mungu azidi kukubariki sana. Hukumu ya Mahakama ikitofautiana na umma tunavyoona basi Jaji huyu atakuwa na roho ngumu sana.
Anyway Acha Ibaki Hivyo!
Mkuu umemuona Mbowe alivyo sasa hivi? Kule sio pazuri we shukuru upo uraiani unaburudishwa na Kibatala ila unadhani Mbowe anaburudika na maswali ya Kibatala kule?Kule utakonda ww mzee wao wanapelekewa msosi mzr kila siku
We endelea kushabikia umbeya wa kiasiasa maana si ndio mnaloliweza. Hilo la Lissu ni la awamu ya Magufuli na awamu hii imeanza na Mbowe na safari ndio kwanza imeanza.Shemeji yako Bashite siku atakapojitokeza Mahakamani tu, suala la Lissu litaanzia hapo pia. Unadhani ni kwanini yuko MAFICHONI? Time will tell..