Wakili Matata: Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi wako Hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya Sativa!

CCM ni Chama Cha Mataahira
Ni Sawa lakini is that what you can address to people na ukapigiwa Kura? Kwanini kama chama kikuu cha upinzani mnashindwa kutofautisha pet issues na Mambo ya kitaifa? Yaani mnatrend within some days mnasahau tena mnadandia lingine mnaloona linawapatia political mileage. Wapuuzi Sana nyie.
 
Na wewe uliona ni busara kusema Chadema ni chama cha kihuni?
 
Sasa hivi ndio nimeelewa huenda wale wote waliopotezwa na Utawala wa Magufuli waliuwawa na Maiti zao ziliachwa ziliwe na Spoted Hyena na Wanyama wengine.
Akiwemo Ben Saanane.
 
Hahaaaa....upinzani hii nchi mna safari ndefu Sana.
Mtoke hapa mje kujadili "finance bill watu waielewe ni Leo?
Na wewe uliona ni busara kusema Chadema ni chama cha kihuni?
Sio Tu chama cha kihuni,ni chama cha WAHUNI+macheck bob 🀣🀣🀣
 
Hahaaaa....upinzani hii nchi mna safari ndefu Sana.
Mtoke hapa mje kujadili "finance bill watu waielewe ni Leo?

Sio Tu chama cha kihuni,ni chama cha WAHUNI+macheck bob 🀣🀣🀣
Na CCM ni Chama Cha Mataahira kabisa
 
Anajulikana !
Kama ni kweli alakini πŸ™„πŸ˜³πŸ˜±
 
Naamni wangetaka kumuua bhc angeshakwisha mda mrefu kabla ajafika chuga au katavi
Huyo wamefanya kumtesa kama Roma au yule doctor ulimboka
Kwahiyo mambo ni yale yale tu ?!!
Kwahiyo Ngosha alikuwa anasingiziwa tu. πŸ˜³πŸ™„
Ya Dokta Ulimboka yalikuwa awamu ya Nne πŸ™„
Sasa Ngosha atapumzika kwa Amani !
😳😳😳😳
 
Mungu ibariki Chadema
 
Chadema wamekuwa watu wa Siasa za matukio. Niliwahi kukipenda hiki chama kipindi fulani.

Mjinga wewe, hujui hata maana ya siasa...!

Hiyo ndiyo siasa sasa kama ulikuwa hujui...

Siasa ni kutumia makosa ya mshindani wako kumchapa nayo..

Siasa ni kama soka. Ukifanya kosa, unapigwa goli au magoli...

CCM wanateka na kuumiza watu halafu wapinzani wao CHADEMA au ACT wawaache na kushangilia tu?? Really??

Narudia tena kukuambia, HUNA AKILI WEWE na wala hata hujui MCHEZO WA SIASA UNACHEZWAJE.....
 
Mmeishiwa hoja mnadakia yasiyowahusu
 
Chadema wamekuwa watu wa Siasa za matukio. Niliwahi kukipenda hiki chama kipindi fulani.

Wewe ni stupid. Watu wanahangaika kuokoa maisha ya mtu. Mashetani mnafikiria tu madaraka. Mashetani wakubwa ninyi msioijua thamani ya uhai wa binadamu wenzenu.

Mungu wa mbinguni, tunashukuru Mkono wako uliomweka hai kijama huyu mpaka sasa. Tunaomba uzidi kumjalia uponyaji, na uwape laana iwafaayo mawakala wa shetani wanaopanga, wanaotekeleza na wanaofurahia vifo vya binadamu wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…