Pumbavu, penda mama yako!Chadema wamekuwa watu wa Siasa za matukio. Niliwahi kukipenda hiki chama kipindi fulani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu, penda mama yako!Chadema wamekuwa watu wa Siasa za matukio. Niliwahi kukipenda hiki chama kipindi fulani.
Ni Sawa lakini is that what you can address to people na ukapigiwa Kura? Kwanini kama chama kikuu cha upinzani mnashindwa kutofautisha pet issues na Mambo ya kitaifa? Yaani mnatrend within some days mnasahau tena mnadandia lingine mnaloona linawapatia political mileage. Wapuuzi Sana nyie.CCM ni Chama Cha Mataahira
Eti kama huyu ni mpinzani 🤣🤣🤣Pumbavu, penda mama yako!
Na wewe uliona ni busara kusema Chadema ni chama cha kihuni?Ni Sawa lakini is that what you can address to people na ukapigiwa Kura? Kwanini kama chama kikuu cha upinzani mnashindwa kutofautisha pet issues na Mambo ya kitaifa? Yaani mnatrend within some days mnasahau tena mnadandia lingine mnaloona linawapatia political mileage. Wapuuzi Sana nyie.
Sio Tu chama cha kihuni,ni chama cha WAHUNI+macheck bob 🤣🤣🤣Na wewe uliona ni busara kusema Chadema ni chama cha kihuni?
Na CCM ni Chama Cha Mataahira kabisaHahaaaa....upinzani hii nchi mna safari ndefu Sana.
Mtoke hapa mje kujadili "finance bill watu waielewe ni Leo?
Sio Tu chama cha kihuni,ni chama cha WAHUNI+macheck bob 🤣🤣🤣
Ok kamjulieni sativa haliNa CCM ni Chama Cha Mataahira kabisa
Haikuhusu.Ok kamjulieni sativa hali
Anajulikana !Get well Soon SATIVA.
Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?
Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?
Kwahiyo mambo ni yale yale tu ?!!Naamni wangetaka kumuua bhc angeshakwisha mda mrefu kabla ajafika chuga au katavi
Huyo wamefanya kumtesa kama Roma au yule doctor ulimboka
Mungu ibariki ChademaMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Magharibi Wakili msomi Dickson Matata amesema uongozi wa Chadema Kanda na mkoa ukiongozwa na makamu mwenyekiti mh Masanja uko hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya afya ya Mwakalebela au Sativa ambaye yuko ICU
Matata ametoa Taarifa ukurasani X
MUaji yake yamesababishwa na wanasiasa Wajinga walioshindwa hojaSiasa zimeshaingia hapo
Unajua ulichoandika Lakini?!🐼MUaji yake yamesababishwa na wanasiasa Wajinga walioshindwa hoja
Chadema wamekuwa watu wa Siasa za matukio. Niliwahi kukipenda hiki chama kipindi fulani.
Mmeishiwa hoja mnadakia yasiyowahusuGet well Soon SATIVA.
Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?
Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?
Chadema wamekuwa watu wa Siasa za matukio. Niliwahi kukipenda hiki chama kipindi fulani.
Halafu watanzania mlivyo na undugu na wapenda amani mpo mnachekacheka naye tu huko X na mitaani.SATIVA ameumizwa na wanasiasa(SISIEMU) na si mbaya wanasiasa(AISITI na SIDIEMI) kumpa support ya gharama za matibabu.