Wakili Mgongolwa: Katiba inamruhusu Rais kumuongezea muda Jaji Mkuu

Sasa kama Jaji kashindwa kuona hilo. Hivi itakuwa je kwenye maswali mazito kama ya DPW yakitinga kwenye viwanda vyake...!!?
 
Watu wanapoambiwa Mkuu wa Nchi amepewa madaraka makubwa sana na Katiba kiasi kwamba hata aliyeisimamia hiyo Katiba mpaka ikapitishwa naye alipata kuigopa !!! Akaonya ! Watu wengi bado hawataki kuelewa tu !!
 
Yaani wewe ni Wakili msomi lakini hujui JM ndiyo JR1, au uliiba mtihani Law School?
Unakosea JM siyo JR1 kwa sasa JR1 ni Mhm Augustine Mwarija na ndie ye Dean wa Majaji wa rufaa. JM ni mkuu wa Mahakama ya Rufani kiutawala na Mahakama ya Tanzania na ametokana na majaji wa rufaa.so kigezo cha kuwa Jaji mkuu lazima atoke mahakama ya rufaa
 
Leta kifungu usiongee bila fact apa
 
Kwa akili zako sidhani miaka ya sasa ungetoboa law school shukuru zamani uwakili mlikuwa mnapewa tu bila kuusotea
 
Kwa akili zako sidhani miaka ya sasa ungetoboa law school shukuru zamani uwakili mlikuwa mnapewa tu bila kuusotea
Mkuu Mpwayungu Village , sipendi kujitapa kuhusu akili mzuri maana zinaweza kuvurugika, ila mimi ni product of Ilboru na LL.B yangu ni hons ya UDSM!.
Umuhimu wa elimu sio vyeti bali umeitumiaje elimu yako kuisaidia nchi yako na kuwasaidia wengine?.
P
 
huyu jaji mkuu wa sasa ana manufaa gani ya umma ambayo mwingine hawezi kuyasimamia na kuyaendeleza au ni mzenji? - maana Tanzania nepotism ndiyo kila kitu.

Na kama alishaongezewa muda na jpm kama katiba inavyoruhusu, kwa nini aongezewe muda mara ya pili kinyume cha katiba?
 
So
Raisi huyu asiyetufaa anastahili adhabu gani?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kwahiyo kuendelea kuwa JAJI anaruhusiwa ila KUWA JAJI MKUU HARUHUSIWI KISA UMRI?
Sio mimi nisemavyo hivyo,.......bali ni katiba...

Na katiba wala haiwezi kukuonea huruma kwa kauli ya "..haruhusiwi, kisa UMRI...!??"

Na kwa hiyo , jibu la swali lako still ni lilelile.....

NDIYOOOOOOO, kisa ni umri tu..!!
 
Huyu jaji hata kuingia kwake katiba ilivunjwa kwa sababu alitakiwa ateuliwe moja kwa moja lakini alianza kukaimu wakati hakuna kipengele cha kinachomruhusu Rais kuteua kaimu jaji mkuu bali anatakiwa kuteua jaji mkuu.
 

Jaji mkuu ni jaji ya mahakama ya rufani.

Ila jaji wa rufani sio jaji mkuu.

Nadhani umeelewa hizi hesabu za set, subset intersection n.k
 

Hata hili la bandari bila shaka ni lake mwenyewe, akaelekeza Bunge lifanye kuridhia maamuzi yake mwenyewe.

Siku ya siku msilete threads hapa sijui alidanganywa etc.
 
Hata hili la bandari bila shaka ni lake mwenyewe, akaelekeza Bunge lifanye kuridhia maamuzi yake mwenyewe.
Siku ya siku msilete threads hapa sijui alidanganywa etc.
Kiukweli, so far, she is so good!, so right and in fact she is the best!.
P
 
Pascal..hapa wala ishu sio katiba..
Ishu hapa..ni watu kujipanga kumpinga Rais...na wewe kama unawa safisha...au na wewe unajua kitu ambacho Wengi hatukijui??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…