Wakili Msomi: Yanga wamefanya uzembe kwa Feisal

Ushajinyea Sasa harafu ishakuwa kali

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hivi walitumia nini kufikiria kuwa Feisal hataweza hama? Au walimnywesha rangi ya bendera?
Au ni mwanachama wa Yanga?



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Neymar alienda PSG bila makubaliano kati ya PSG na Barca.
Alichofanya Neymar ni kuvunja mkataba 250 million euro. Then akawa free agent akaenda zake PSG. Yaani hata FFP haikuwa na nguvu yoyote hapa..
Feisal kafanya kile kile kama Neymar kavunja mkataba, kawalipa chao, kwa sasa ni mchezaji huru.

Na hadi amefikia hapo ukute majadiliano yalishakuwa mengi, wanasheria washapita na kushauri

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Release Clause sio ya lazima ni makubaliano kati ya Timu na Mchezaji

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hivi walitumia nini kufikiria kuwa Feisal hataweza hama? Au walimnywesha rangi ya bendera?
Au ni mwanachama wa Yanga?



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nina wasiwasi itakuwa ni sababu za kimazoea, inawezekana walishaweka vipengele vya aina hiyo kwenye mikataba iliyopita, but havikuwa "activated" na wachezaji mpaka mikataba yao ilipokwisha, ndio jamaa wakaona hicho kipengele hakina shida kuwepo, sasa this time imekula kwao.
 
Kitendo cha Feisal kuvunja mkataba kinamfanya awe huru si kusajiliwa na Azam tu, bali na timu yoyote ikiwemo Simba 😄😄 😄
 
Kaenda huyo.....tukomae tu sasa na Aziz Ki.
 
Wewe ndio upo nyuma au ni mwanasheria uchwara,mkataba ili uvunjike pande zote 2 inabidi zikae na kupitia sababu za kufanya mkataba uvunjike,nikupe tu hii,anachofanya feisal alifanya calinhos pale Yanga calinyo alitoa demand zake za kutaka kuvunja mkataba na Yanga walipozikubali wakatoa demand zao na mojawapo calinyo atakiwi kucheza mpira ndani ya TZ kwa miaka 4,wakalipana vilivyostahili jamaa akasepa,fei mkataba unamruhusu kuvunja lakini si kienyeji lazima akae na Yanga fei ataje demand zake na Yanga wataje demand zao,mkataba ni baina ya pande 2 so ili uvunjike pande zote 2 zikubaliane,fei afuate sheria za kimkataba Yanga wala awamtozuia,akae mezani na Yanga
 
Na release clause ikiwa mkubwa basi na mshahara wa mchezaji unakuwa mkubwa. Hasara yake ni mchezaji akiunderperform ujue ni hasara coz hauziki popote. Ndo kinachowatesa barca saiv cc issue ya umtiti.
 
Makolo mnahangaika na Yanga mnasahau kama mmletea Saidoo ambae mlidai ni Mzee wengine mkadai mchezaji aliyecheza hawezi kuja kucheza bongo ukiona hivyo alikuwa mtunza stoo , Suala la Fei kwenda bado bichi kinachotakiwa ni utaratibu na vingele vya mkataba vifuatwe haina shida wana Yanga tunaamini Yanga inaweza kufanya vizuri pasipo uwepo wa Fei hilo lipo wazi . Kuna wanasheria wengi kila anasema kivyake. Kutokana na utashi wake na mapenzi yake tusubiri mpaka mwisho wa picha ndio muanze kuchonga ngengq
 
Ndo hapa tyuuh napopata wasi wasi huenda Fei toto alipokoseaa.
Nwei tutajua mwsho wake nn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neymar alienda PSG bila makubaliano kati ya PSG na Barca.
Alichofanya Neymar ni kuvunja mkataba 250 million euro. Then akawa free agent akaenda zake PSG. Yaani hata FFP haikuwa na nguvu yoyote hapa..
Oooooh hapa sasa naelewaaa zaidi. Basis Fei yuko sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msipoteze nguvu sana.
Mtu mwenye kanuni husika za FIFA, CAF na TFF aweke hapa. Tubishiane humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…