Wakili Msomi: Yanga wamefanya uzembe kwa Feisal

all in all mkataba huwezi kuuvunja oeke yako
 
Kumbe yale magoli yalikuwa yanawauma maana sio kwa kushadadia huku.
 
Mnabishana hapa, Fei yupo anapangia matumizi mshahara mpya. Popote pale ataupata. Uto walikuwa wanampa M4 kwa kiwango kile? Aibu hizi.
 
Watakimbizana kukaa na wachezaji kuona warekebishe wapi ila itakuwa gharama kwao

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kafatilie jinsi Neymar alivyoondoka barca
 
Yan watu wanaikurupukia hii issue wengine hata hawaelewi kinachoendelea. Hapa kinachozungumzwa ni utaratibu uliotumika.

Sasa mtu anaandika utafikiti anahara. Mbumbumbu utabaki kuwa mbumbumbu tu. Heshima kwako Rage uliyaona mbali hata mambumbumbu
Eleza unachoelewa..sio kuongea jumla jumla, kma mnavyoangalia suala la fei kiujumlajumla without specifi cause
 
Mkuu inawezekana hivyo , hata PSG walifanya hivyo hivyo kwa Neymar, Barcelona mpaka dakika ya mwisho walikua hawataki kumuachia lakini fedha ishaingia benki manaake hawawezi kufanya kitu.
 
Msome msisome muwe na elimu msiwe nazo. Vitu VYA kitanzania haviishagi kisomi. KUNA VITATU VITATU TANZANIA VINATAJWA NA KUTAWALA SANA ILA VINAAHARIBU NA KUVURUGA MAMBO MENGI SANA. NI YANGA SIMBA NA CCM.
 
Yule kwenye mkataba wao kuna kipengele cha kuununua mkataba,mbona hili watu hawalioni???

Utopolo wamejichanga kuweka kipengele cha mchezaji kuununua mkatabq wake na ndio kijana akaona hapahapa
 
Hii issue ya Feisal imewapa viongozi wa Simba muda wa kupumzika maana mashabiki wote mmekuwa busy mmesahau timu yenu ina matatizo lukuki
Uzuri Bakhresa ana pesa kuliko GSM. Mkiendelea kumuhudhi anamsajili na GSM na litimu lenu lote na kulifanya liwe Yanga Queens.

Shauri lenu .

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Yule kwenye mkataba wao kuna kipengele cha kuununua mkataba,mbona hili watu hawalioni???

Utopolo wamejichanga kuweka kipengele cha mchezaji kuununua mkatabq wake na ndio kijana akaona hapahapa
kama kipengele kile kimeqekwa na Simon Patrick Eng. ampumzishe kazi hiyo hafai
 
Unajua Halaand aliondokaje?, City hakujadiliana na Dortmund juu ya usajili wake bali wao waliangalia udhaifu wa mkataba alionao wakampa hela akaingiza kwenye a/c biashara ikaishia hapo.
Au Kuondoka kwa Neymer Barca unahisi ni mapenzi ya timu?, jibu ni hapana. Psg aliona dau linalotakiwa kwenye mkataba wakampa Neymer akalipia kilichobakia ni story.
Azam sio wapuuzi na hawapendi siasa za soka za majitaka hivyo uwe na uhakika waliona pengo kwenye mkataba wa Fei wakatumia nafasi hiyo kukamilisha dili.


Hakuna hata mmoja mwanayanga anayesema kipi Fei amekosea kutokana na takwa la mkataba wake bali wao wanaleta maneno maneno badala ya kuweka vifungu vilivyokiukwa vilivyoko kwenye mkataba.
Acheni ngonjera wekeni vifungu, yule alikuwa mfanyakazi tu na kilichokuwa kinawaunganisha ni mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…