Pre GE2025 Wakili Mwabukusi: Mwaka 2020 nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema walishaingizwa mkenge na tapeli la siasa Mbowe!, Ni mpuuzi tu ndio angeweza kwenye ule mkutano wakipumbavu.

Ule Mkutano ulikuwa kuwadaka CHADEMA, sijui nani kawaambia waende. Ndio maana yule Mzee wa CHADEMA alipoongea ukweli machawa wote wakaamka na kumkalisha chini. Lengo ni kwamba wapitishe sheria ya kijinga waje waseme CHADEMA walishiriki pia kutoa maoni.
 

Punguza unafiki, Kuna undugunization zaidi ya CCM

Mama mkwe Rais - mkwe Waziri Tamisemi

Baba Rais- mtoto Naibu Waziri

Mme Rais- make Mbunge

Baba Rais- - mtoto Rais.
 
Unakosea. Salim Mwalimu ndio nani CHADEMA?. Huyo ni sympasither wa Samiah. Nani hajui?. Acha kutaja majina ya watu na kuyafanya ndio imani ya CHADEMA.

..huyo unayemjibu ni upotoshaji.

..Salum Mwalimu, Benson Kigaila, na Mzee Hashim, wote waliwasilisha kwa ufasaha misimamo, na mitizamo, ya Cdm na wanademokrasia, ktk mkutano ulioitishwa.

..Ni vizuri ukiangalia VIDEO za michango yao kuliko kuamini anachokwambia Venus Star .
 
Kungekuwa walau na hivyo vyama serious!, Wenyeviti wa vyama ndio mawakala wa CCM😅.

Kwa mazingira tuliyonayo vyama vya upinzani vinajitahidi. Maana CCM ni chama Dola.
 
Kama hali ndiyo hii upinzani kuchukua madaraka itakuwa ni ngumu sana[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi ulikuwa hujui hilo!.

Uchaguzi wa Tanzania ni upumbavu mtupu (ni maigizo tu)....Uchaguzi wa Tanzania si huru na wa haki.

Wizi wa kura na hujma nyingine (kama kuengua wagombea, nk.) hufanywa na maafisa wa uchaguzi ambao ndio tume yenyewe ama serikali yenyewe....na hao maafisa uchaguzi kwa asilimia kubwa ni watumishi wa umma tena wa mihalmashauri.
 
Laani hii huenda kwa watoto wao, ndio mashoga na mateja unawaona Masaki na Oysterbay.
Wanavuna lakininwengine watakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…