Kama kuna mtu au kiongozi anaongoza hiko kikosi kzi cha vitisho hivyo basi ni mjingaa wa mwisho kabisa.Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:
UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake
Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.
SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Kinachoshangaza haya mauaji, vitisho, utekaji, na kupotezwa; tunafanyiwa raia wa Tanganyika tu! Huku Rais aliyeko madarakani akiwa na asili ya nchi jirani ya Zanzibar! Na binafsi sijawahi kumsikia akikemea au kuchukua hatua za kukomesha haya mauzauza!
Je, ndiyo kusema hana uchungu? Wangekuwa wanafanyiwa hivi Wazanzibari, angeendelea pia kufumba macho na kuziba masikio? Je, ni wakati sasa kwa Watanganyika kuamka na kukomesha haya maovu, au tuendelee kulala usingizi wa pono?
Wauaji wa kweli huwa hawasemi. Wakishaua, hujifanya kumuonea huruma mhanga wao. Angalia serikali ya watekaji inavyofanya hapa na kule Kenya.Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:
UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake
Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasif au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.
SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Hivi kumbe ni malipizi na visasi kwa Watanganyika. Mbona Kikwete muislam aliwakamata mashehe na wengine wako ndani mpaka leo na hamsemi.Wakati Mtanganyika Mkappa anaua Wazanzibar ulikuwepo Tanganyika ? Unafikiri Wazanzibar wamesahau ?
Huyu jamaa ana jambo na mtazamo fulani wenye mwelekeo wa kutujenga ila ni mbaya sana kumtaja mtu kwa kabila lake siyo afya
Unaumia ukiwa wapi mkuu?SAMIA ni mpaka 2030Ndiyo maana kwa upande wangu sioni umuhimu wowote ule wa huo muungano wao wa kipuuzi. Tungekuwa na Kiongozi mzalendo, asingekubali kamwe kuiendesha nchi kwa mfumo huu wa sasa.
Mbona Ben Sanane walimtishia na kumuua kabisa. Mbona Lissu aliripoti mpaka namba ya gari iliyokuwa inamfuatilia na bado wakampiga risasi hadharani. Usiwazuge watu.Wauaji wa kweli huwa hawasemi. Wakishaua, hujifanya kumuonea huruma mhanga wao. Angalia serikali ya watekaji inavyofanya hapa na kule Kenya.
Huyu jamaa ana jambo na mtazamo fulani wenye mwelekeo wa kutujenga ila ni mbaya sana kumtaja mtu kwa kabila lake siyo afya
Ben saanane hakupotea aliuliwa na kwenda zake Kwa kupigwa bastola,Eric kabendera anasema alishuhudia maiti yake mochwari mwananyamala hospitalHata Ben Saanane uzi wake wa mwisho humu 2016 ilikuwa ni habari ya kutishiwa kuuwawa na namba iliyomtisha aliiandika , polisi wakakaa kimya hadi alipopotea miezi miwili mbele wakasema wanachunguza leo ni miaka 9 hakuna majibu ya uchunguzi.
Tunasikiliza na kuangalia mpira sababu hali sio nzuri,tumeamua kutafuta furaha kinguvu,tumekaribisha Mkoloni mpya yaani Zanzibar bila kujua,wamekufa viongozi muhimu wawili Miaka ya karibuni hatimae hatuna wa kutusemea kwenye Baraza la mawaziri na kwingineko.Watanganyika wa kuamka wako wapi? Hawa wanaosikiliza mpira kuanzia asubuhi mpaka jioni? Are you kidding me?
View attachment 3330086
Ni kwa ni wanasheria msioambane kwa vyovyote vile hadi kupata chanzo cha sms hizo badala ya kuendelea tu kulalamika?Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:
UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake
Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.
SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Inashangaza utadhani anamtakia heri😀🤣🤣🤣 eti ameanza na Mambo vip
Si alisema yeye ni chura kiziwiMimi nilichogundua kwa siku za hivi karibuni ni kwamba watu wasiotaka Mama Samia aendelee na Urais wanajibiidisha kumharibia.
Changamoto kwake ni kutokuwadhibiti.
Na kifo NI kifo Tu .At kifo ni kifo tuu.