Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

Kaa kando na mihemko yako ni haki na uhuru wako. Wala hayupo kukushurutisha....

Walio tayari kushiriki uchaguzi na kutumia haki zao za msingi kuchagua viongozi wao kwenye sanduku la kura, watashiriki na watalindwa kwa nguvu zote, na serikali mpya itapatikana na itaundwa na kazi za kuwaletea wananchi zitaendelea bila wewe mtanzania mwenzangu Tindo na bila tashwishwi yeyote...
Kukataa kugeuzwa zoba kwenye chaguzi za kishenzi ni mihemko? Hao walio tayari kushiriki ni haki yao, lakini sisi wengine hatuko tayari kuendelea kushiriki chaguzi za kipuuzi ili kundi Fulani liendelee kukaa madaraka kwa wizi. Hao mazoba wa hivyo hawapo wa kura zao kuendelea kuchezewa.
 
HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI

Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani

Hakuna mtu yuko tayari kumwambia kiongozi wake kwamba anayoyafanya hayako sawa, hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.

Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?

kwanini twende kushiriki uchaguzi bila katiba mpya?

Nilishasema kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"

Chanzo : Jambo Tv
Yuko sahihi binafsi nasemaga humu watanzania ni wepesi mno, wengi hamjui mnataka nini ,wapo wapo tu hoya hoya

We fanya kitu OSINT ,ndio utajua
 
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na Mwakubusi, siasa za upinzani hazina mashiko tena.
Ukweli watanzania mnapea sana mpk aibu ,yaani rahisi sana mtu kujua kuwa hamjui ila mnapenda ubishi usio na tija, ubishi wa simba na yanga ,mmehamishia ktk siasa ,cdm na ccm ,huku watu wakitaabika
 
Tunaungana kwenye kushiriki chaguzi za haki, sio hizo za kwenda kupotezeana muda kisha kupewa viti viwili vitatu vya hisani ili kuhada umma na dunia kuwa Kuna demokrasia.

Ni hivi, tumechoka kuongozwa na chama hiki hiki miaka yote tena kwa shuruti. Tunataka chaguzi za haki anayeshinda ashinde kihalali, na sio kupotezea wanaume muda wao kwenye mistari ya kura, wakati mnalazimisha kuongoza kizazi kilichowachoka. Serekali inaweza kuundwa na watanzania wengine, sio lazima ccm bila ridhaa ya umma.
Mwabukusi tu anawashinda na anawagawanya vuzuri na kirahisi sana...

utaungana na nani kuangusha jabali la chama Africa na Duniani. CCM ?

Utatumia chuki binafsi, matusi au muhemko kuishinda kama sera kushinda hii kitu?

Wanaoweza kutukana na wenye jazba na mihemko dhidi ya CCM, kwan wako wa ngapi kuwashinda kuwashinda CCM ambao ni watulivu mno wamoja na wenye sera, mipango na viongozi mahiri wanaoaminika na wananchi?

Gentlemans,
Be patient,
Lazima ifike mahali mkubali kuna kitu hakiko sawa upinzani,
go back to the drawing table, discuss , and come up with comprehensive that has short, middle and long plans and programmes mtafika mbali kwa haraka na uhakika Zaidi......
 
go back to the drawing table, discuss , and come up with a comprehensive that has short, middle and long plans and programmes mtafika mbali kwa haraka na uhakika Zaidi......
Wapinzani Tanzania ni janga ,hakuna mpinzani ,mnapotezewa muda tu
 
🐒🐒🤣🤣hakuna kuzira kwenye siasa. changamoto binafsi sitafutiwe ufumbizi muafaka kwa njia za kibinafsi ...

Nimebaini hali hii inakukumba wewe binafsi tu, kutokana na mambo binafsi mengi unayoyapitia na hilo ni jambo la kwaidi, wengi tunapitia hali hizo na zinapita kwa uweza wa Mungu.....

Nakuombea baraka na Neema za Mungu akujajile utulivu na maarifa zaidi unapokabiliana nazo.
Kwa Mungu Yote yanawezekana..
Aimen....
 
Wapinzani Tanzania ni janga ,hakuna mpinzani ,mnapotezewa muda tu
unajua hata CCM yenyewe inahitaji upinzani,
lakini lazima uwe upinzani wa kiungwana na ulipambwa na umoja na lugha za kiungwana katika kukosoana n.k

Kwakweli binafsi yangu natamani vibrant opposition
 
Slaa anamdanganya sana huyu jamaa
Kwenye maisha hamnaga short-cut hasa kwenye mambo yanayohusu itikadi kama siasa

Kama anajiamini aanzishe chama chake asitake kutumia watu kama mgongo wa kufikia malengo yake maisha sio marahisi hivyo yaani chadema waache agenda zake wamfuate yeye mbona ni kituko na kichekesho
Well said
 
Kukataa kugeuzwa zoba kwenye chaguzi za kishenzi ni mihemko? Hao walio tayari kushiriki ni haki yao, lakini sisi wengine hatuko tayari kuendelea kushiriki chaguzi za kipuuzi ili kundi Fulani liendelee kukaa madaraka kwa wizi. Hao mazoba wa hivyo hawapo wa kura zao kuendelea kuchezewa.
Popularity ya chama kikuu cha upinzani Chadema ipo chini kama CCM tu. Kama Mbowe na Lissu wanashindwa kushawishi wananchi kuingia barabarani nini maana yao kuendelea kubaki kwenye hizo nafasi? Imefika mahali mtu kama Sa100 asiyejua hatakuongea na wananchi anakuwa na kiburi cha kulazimisha DP World.
 
Mwabukusi tu anawashinda na anawagawanya vuzuri na kirahisi sana...

utaungana na nani kuangusha jabali la chama Africa na Duniani. CCM ?

Utatumia chuki binafsi, matusi au muhemko kuishinda kama sera kushinda hii kitu?

Wanaoweza kutukana na wenye jazba na mihemko dhidi ya CCM, kwan wako wa ngapi kuwashinda kuwashinda CCM ambao ni watulivu mno wamoja na wenye sera, mipango na viongozi mahiri wanaoaminika na wananchi?

Gentlemans,
Be patient,
Lazima ifike mahali mkubali kuna kitu hakiko sawa upinzani,
go back to the drawing table, discuss , and come up with comprehensive that has short, middle and long plans and programmes mtafika mbali kwa haraka na uhakika Zaidi......
Nasema hivi hakuna sifa yoyote ya kuungana wapinzani ili kupewa nafasi za hisani. Kama ushindani wa sera ndio ungekuwa unatoka mshindi hapa kwetu, Leo hii ccm isingekuwa madarakani, na hata kama ingekuwa isingekuwa na uwezo kufanya maamuzi itakavyo. Hilo neno sera mnalitumia kama fashion, lakini ccm haiko madarakani kutokana na sera, Bali sababu za kihistoria, na hasa hasa katiba mbovu ya chama kimoja.

Hizi chaguzi za kihayawani unazoziona, ni ili kuhakikisha ccm inaendelea kukaa madarakani huku kizazi kikiwa kimeichoka. Huo usanii kuwa mko madarakani kwa ajili ya sera, kawaambieni wale wajinga mnaowasomba kwenye malori. Zama za ccm kuendelea kukaa madarakani zilishapita na kizazi chake. Hivyo hizo chaguzi mnazolazimisha kukaa madarakani, fanyeni/shirikini na wenye huo mda mchafu. Na ukitaka kuamini hiki si kizazi Cha ccm, subiri uone idadi ndogo ya wapiga kira watakaojitokeza, kama ishara kuwa hamkubaliki na kizazi hiki tena.
 
Popularity ya chama kikuu cha upinzani Chadema ipo chini kama CCM tu. Kama Mbowe na Lissu wanashindwa kushawishi wananchi kuingia barabarani nini maana yao kuendelea kubaki kwenye hizo nafasi? Imefika mahali mtu kama Sa100 asiyejua hatakuongea na wananchi anakuwa na kiburi cha kulazimisha DP World.
Kwani kuwazuia hao DP World ni jukumu la CDM tu? Au ww ni wale wanaokaa pembeni wanaamini hilo ni jukumu la cdm pekee Yao kama chama?
 
HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI

Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani

Hakuna mtu yuko tayari kumwambia kiongozi wake kwamba anayoyafanya hayako sawa, hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.

Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?

kwanini twende kushiriki uchaguzi bila katiba mpya?

Nilishasema kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"

Chanzo : Jambo Tv
Kitu pekee kibaya kuliko CCM ni shetani.
 
Na hata wale mnaowaita Covid 19, watamaliza muda wao bila shida , wewe mjinga mjinga piga kelele,wenzio wanaishi vzr tu
 
wapi chadema imesema itashiriki uchaguzi? jiepushe na watu wa hovyo......usiwe kwenye kundi la mtu kutofungu post/thread yako akijua kuna rubbish!

Kuna namna ya kusema uliyonayo moyoni kwa wenzako ambao lengo lenu ni moja..... huyu kumbe mpuuzi tu.
Mnyika jana kashiriki kwenye kikao cha kuandikisha wapiga kura ..kimsingi chama kipo tayari kushiriki uchaguzi huu kwa katiba hii! Walitakiwa kugomea mchakato mzima!
Katika hili namuelewa sana Lissu ni msema kweli
 
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na Mwakubusi, siasa za upinzani hazina mashiko tena.
Lissu alisema wazi kuwa wasishiriki uchaguzi wowote bila katiba mpya lakini wangapi wamemuunga mkono?
 
Back
Top Bottom