Mwabukusi tu anawashinda na anawagawanya vuzuri na kirahisi sana...
utaungana na nani kuangusha jabali la chama Africa na Duniani. CCM ?
Utatumia chuki binafsi, matusi au muhemko kuishinda kama sera kushinda hii kitu?
Wanaoweza kutukana na wenye jazba na mihemko dhidi ya CCM, kwan wako wa ngapi kuwashinda kuwashinda CCM ambao ni watulivu mno wamoja na wenye sera, mipango na viongozi mahiri wanaoaminika na wananchi?
Gentlemans,
Be patient,
Lazima ifike mahali mkubali kuna kitu hakiko sawa upinzani,
go back to the drawing table, discuss , and come up with a comprehensive that has short, middle and long plans and programmes mtafika mbali kwa haraka na uhakika Zaidi......