Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani.

Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi

Chanzo: Swahili Times
 
Thank you for just knowing the truth, "fedha fedha fedha" Hakuna cha kukomboa nani wala nani maslahi tu.
Pima, wote waganganjaa walioingia katika siasa mambo yao safi, that mean akifaulu kupata kanafasi anateleza life goes well and soft, kushikiwa akili kitu mbaya Sana au (uzuzu) kibaya unakuwa zuzu lisilo na target... Ni Afadhali uwe zuzu staili ya yericko yeye anakwenda halafu anamshika mwenyekiti mkono tupia na huku kidogo! hali mbaya kweli maisha yanasonga 😇😇😇,
 
Kazi ya Wakili imekwisha kamilika.

Tunashukuru Wakili Msomi kwa kupeleka Mjadala ule wa Bandari kwa namna ile hadi kufikia hitimisho lile

najivunia kuwa CCM ambayo tangu kuanza kwake imekuwa mbele ya muda kwny mijadala yote inayotishia umoja na mshikamano wa Taifa

Chadema pia inathamini sana amani kwa kuwa inajua bila ya amani hakuna ruzuku

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Kazi ya Wakili imekwisha kamilika.

Tunashukuru Wakili Msomi kwa kupeleka Mjadala ule wa Bandari kwa namna ile hadi kufikia hitimisho lile...
Gavana: Hatutakubali Bandari ya Mombasa ibinafsishwe Kifala fala

Waislamu: Ruto akabinafsishe kwanza Kuku wake wa mayai na Gachagua akabinafsishe kwanza Mashamba yake ya Kahawa, Chai na Pareto
 
anaanza kujifelisha mapema kwa kuwachokoza na kuanzisha vita na wanasiasa. come on adv.utakwama. dr slaa anakumisslead
sasa anafeli vipi wakati anapigania uhuru wa kujieleza halafu mnataka yeye asiwe huru kueleza anachohisi ni sahihi kwa kuwa tu wengi hawatopenda kusikia ?

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Gavana: Hatutakubali Bandari ya Mombasa ibinafsishwe Kifala fala

Waislamu: Ruto akabinafsishe kwanza Kuku wake wa mayai na Gachagua akabinafsishe kwanza Mashamba yake ya Kahawa, Chai na Pareto
Hapo mnapoingiza mambo ya dini ndipo mara zote mnapojipiga Mtama halafu mnalalamika

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
anaanza kujifelisha mapema kwa kuwachokoza na kuanzisha vita na wanasiasa. come on adv.utakwama. dr slaa anakumisslead
Yupo sahihi 100%.Umesikia upinzani ukiongelea mgao wa umeme unaondelea?Umesikia upinzani ukipinga vikali mkataba wa bandari?Hii serikali ni ya ovyo kuwahi kutokea lakini upinzani upo kama haupo.
 
Mmhh, CCM ipi, hii iliyoshindwa kujua kuwa Iko nje ya muda, imebaki kupora tu chaguzi ili isalie madarakani kwa shuruti?
Ndio Siasa hiyo

kwani Huoni Chama tawala Marekani katika kukabiliana na Trump wamemfungulia kesi za ubakaji, ukwepaji kodi, kuchochea ghasia na sasa kumfilisi ili mradi tu kumdhibiti?

Kama huwezi kulinda kura zako utaweza kweli kulinda Bandari na migodi ya nchi?

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom