Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

Upinzani ni Ideology, sio Chama,Kama vyama vimechoka na Ideologt vipi?Unataka Mbowe na Familia yake Waandamane nyie mkiwa Majumbani?
Hakuna sehemu aliyotajwa Mbowe Bali vyama . Kama unaamini vyama ni ideology usingetaja jina la mti.Juzi Mshana alitoa post namna ya kufanya maandamano ikiwemo kususia bidhaa, hayo ndio mawazo mapya ya.kupambana na serikali. Inaonekana kichwani mwako unamfikiria Mbowe.
 
Mkuu Chadema ni Genge la matapeli. Na uelewe mimi sio CCM.Saizi Chadema ni tawi kificho la CCM ndio maana huwezi kuta wako na wananchi kupambana juu ya udharimu wa CCM.Mbowe na genge lake wamefeli, bora kije chama kingine cha upinzani. Haiwezekani Nchi yenye upinzani imara tukawa tunalala giza huku utawala unakuja na hoja za kipuuz.
Chadema ikikaribia kukata moto lazima ichajiwe ili maisha yaendelee

kikiibuka kikundi hatarishi cha kutishia uhai wa Nchi itakuaje ?

hata ACT kule Znz mwanzoni walishupaza shingo lakini sasa hivi nao tayari wanajua umuhimu wa amani

zile blaa blaa na mikwala ya hapa na hapa ni kawaida tu kwny Siasa maisha yaendelee

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Sio matusi tu mkuu.
Hawa anaowachokoza ni hatari kwake kuliko ccm..hivyo awe makini na hayo mafumbo yake dhidi ya mwenyekiti.
Lakini nani ajui kuwa Mwenyekiti na CCM ni dugu moja tatizo baadhi ya wanachama wa Chadema wanapenda kujilisha upepo
 
Wewe ndio huna maana. Kwa hivyo mama yako Samiah ametoa miezi SITA umeme usiwe mgao, upinzani ndio walalamike ili iweje?. Kwenye shida mnaoponda upinzani, ila mwenye mamlaka ya kuleta umeme mnalamba miguu na kumuogopa.
Sina Mama anayeitwa Samia. Tungekua na upinzani wa maana leo hii kingenuka kwanini tukae giza miezi 6?Ilitakiwa Chadema waseme NO,Ilitakiwa Chadema waandamane kushinikiza viongoz wajiuzulu kwa huu ujinga. Chadema iko kimya kana kwamba Hitimisho la Samia kuhusu umeme ndio final na ni sahihi. Again,Hatuna Upinzani bali genge la wahuni na matapeli wanaotumia siasa kula kodi zetu.
 
Upinzani nani kakuambia ni chama? Kule Sudani Maandamano ya kumung'oa Alibashiri hayakuanzishwa na Vyama vya upinzani.

Turudu kwenye Maada,Mwambukusi akiitisha Maandamano utatoka?au wewe ni keybord man?
Vyombo vya habari vikidhubutu kurusha hewani vikao vya Adv.Mwabukusi. Nakuhakikishia mwiitikio wa maandamano utakuwa mkubwa. Huwezi kubana vyombo vya habari na social media (Twitter/ X) halafu ujisifie watu hawataki kuandamaana.
 
Hakuna sehemu aliyotajwa Mbowe Bali vyama . Kama unaamini vyama ni ideology usingetaja jina la mti.Juzi Mshana alitoa post namna ya kufanya maandamano ikiwemo kususia bidhaa, hayo ndio mawazo mapya ya.kupambana na serikali. Inaonekana kichwani mwako unamfikiria Mbowe.
kwanini wao wasianze kususia ruzuku kabla ya kutushawishi sisi tususie kununua Unga wa ugali kula na familia yangu?

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna sehemu aliyotajwa Mbowe Bali vyama . Kama unaamini vyama ni ideology usingetaja jina la mti.Juzi Mshana alitoa post namna ya kufanya maandamano ikiwemo kususia bidhaa, hayo ndio mawazo mapya ya.kupambana na serikali. Inaonekana kichwani mwako unamfikiria Mbowe.
Ilisha tolewa kwa kugomea vodacom ilifanikiwa? Hakuna kitu hapa
 
"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi

Chanzo: Swahili Times
Acha uchoganishi ...credibility ya source yako ipo very questionable... Wewe ka kideo angalau
 
Pimbi wewe Upinzani sio Mbowe ni Ideology,Unataka Mbowe aandamane kuwatetea wapumbavu kama wewe?
Mbowe anatakiwa aitishe maandamano nchi nzima kupinga ujinga unaondelea. Kama Raia wanagoma kuandamana maana yake hawana imani naye. Kenya Raia wana imani na Odinga ndio maana kila anachowaambia wanafuata.Raia wakielewa kama mtetezi wao watasimama nawe ila wakijua we tapeli watakupuuza.
 
Vyombo vya habari vikidhubutu kurusha hewani vikao vya Adv.Mwabukusi. Nakuhakikishia mwiitikio wa maandamano utakuwa mkubwa. Huwezi kubana vyombo vya habari na social media (Twitter/ X) halafu ujisifie watu hawataki kuandamaana.
Watu gani wa kuandamana?wewe hapo?Hapo ulipo unajua fija huwezi andamana
 
Achunge ulimi wake,mtu kama Lissu,ambaye hata JPM alitamani ampe cheo,lakini akawa haonyeshi hata dalili ya kuhongwa,leo hii umuweke kwenye calibre ya wanasiasa anaowasema Adv.,ni kumkosea.Kuna baadhi ya wanasiasa na vyama pia,lakini si wote.Lissu hata suala la kufanya maridhiano uchwara,hataki.Tuwape heshima yao,watu kama hao.
 
Upinzani ni nani?tuanzie hapo,Kama hawaongelei kwa nini wewe usiongelee Mkuu? Unataka Mbowe na familia yake watoke wabebe mabango waandamane kupinga mgao wa umeme? Nyie mkiwa kwenye keybord?
Kazi ya upinzani ni kuongoza wafuasi wake kupinga dhuruma yyt toka kwa watawala. Unataka kusema Mbowe hana wafuasi wa kuwaongoza kwenye maandamano ya kupinga ujinga wa mgao?
 
Yupo sahihi 100%.Umesikia upinzani ukiongelea mgao wa umeme unaondelea?Umesikia upinzani ukipinga vikali mkataba wa bandari?Hii serikali ni ya ovyo kuwahi kutokea lakini upinzani upo kama haupo.
siasa ni maslahi, kila chama kina maslahi, sera na misingi inayosimamia. Havikurupuki kama mazuzu.

Kama hayo ya sijui umeme, Bandari n.k. wewe na Mwambukusi hamkuskia wapinzani wakiyasemea na mmeona vina maslahi kwenu na kwa wananchi sasa simuyasimamie bila kudhihaki vyama vyenye maslahi tofauti na hayo au mengine mliyonayo?
 
Back
Top Bottom