uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Well said
Huyu kijana ana kitu kikubwa
Huyu kijana ana kitu kikubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona kapewa kesi ujue kuna ukweli, na uzuri mahakama zao ziko huru sio kama hizi za hapa kwetu.Ndio Siasa hiyo
kwani Huoni Chama tawala Marekani katika kukabiliana na Trump wamemfungulia kesi za ubakaji, ukwepaji kodi, kuchochea ghasia na sasa kumfilisi ili mradi tu kumdhibiti?
Kama huwezi kulinda kura zako utaweza kweli kulinda Bandari na migodi ya nchi?
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Kwa taazima nakuomba uunde chama mbadala cha upinzani mimi nitakuwa nyuma yako. Kumbuka tuna wanachama wa CHADEMA ambao wamefukuzwa uanachama sababu ya kuapishwa kinyume cha katiba ya nchi. Je, utakiitaje chama chako? Je, hutachukua ruzuku serikalini au ukiingia bungeni hutachukua per DM. ??Nipashe ili nikuungemkono.Mkuu Chadema ni Genge la matapeli. Na uelewe mimi sio CCM.Saizi Chadema ni tawi kificho la CCM ndio maana huwezi kuta wako na wananchi kupambana juu ya udharimu wa CCM.Mbowe na genge lake wamefeli, bora kije chama kingine cha upinzani. Haiwezekani Nchi yenye upinzani imara tukawa tunalala giza huku utawala unakuja na hoja za kipuuz.
sawaNi mara 100 akwame kuliko kuwa mjinga mwingine.
Chadema walikuwa wanatembea nae mtaani huyu Mwamba dah"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
maridhiano hataki japo hayo maridhiano ndio yamepeleka Malimbikizo ya ruzuku ya 2 billion kutolewa na Serikali nae akarudi kuyatafuna.Achunge ulimi wake,mtu kama Lissu,ambaye hata JPM alitamani ampe cheo,lakini akawa haonyeshi hata dalili ya kuhongwa,leo hii umuweke kwenye calibre ya wanasiasa anaowasema Adv.,ni kumkosea.Kuna baadhi ya wanasiasa na vyama pia,lakini si wote.Lissu hata suala la kufanya maridhiano uchwara,hataki.Tuwape heshima yao,watu kama hao.
Ahaa, maana yake ni nini mkuu?Siyo Mwakubusi bali ni Mwabukusi
Lisu ni mwanasiasa tapeli kwa sasaAchunge ulimi wake,mtu kama Lissu,ambaye hata JPM alitamani ampe cheo,lakini akawa haonyeshi hata dalili ya kuhongwa,leo hii umuweke kwenye calibre ya wanasiasa anaowasema Adv.,ni kumkosea.Kuna baadhi ya wanasiasa na vyama pia,lakini si wote.Lissu hata suala la kufanya maridhiano uchwara,hataki.Tuwape heshima yao,watu kama hao.
Kwa taarifa yako watu sio wajinga tena, ww zungumzia uoga na sio ujinga. Iwapo vyombo vya Dola vitaendelea kuamini ccm ndio chama chenye hati miliki ya nchi hii, basi ccm itaendelea kukaa madarakani kwa mbeleko ya vyombo vya Dola.CCM iko madarakani kutokana na udhaifu wa upinzani uliopo. Na CCM itatawala milele kama aina hii ya upinzani inatendelea kuexist. Now CCM ina mtaji wa wananchi wajinga na upinzani uchwara.
Upinzani inataka maslai ya wananchi yawe mbele.Leo wananchi tunalia peke yetu utasema hatuna upinzani. Ukweli lazima usemwe, hatuna upinzani bali genge la wahunisiasa ni maslahi, kila chama kina maslahi, sera na misingi inayosimamia. Havikurupuki kama mazuzu.
Kama hayo ya sijui umeme, Bandari n.k. wewe na Mwambukusi hamkuskia wapinzani wakiyasemea na mmeona vina maslahi kwenu na kwa wananchi sasa simuyasimamie bila kudhihaki vyama vyenye maslahi tofauti na hayo au mengine mliyonayo?
Ccm haipo smart kama mnavyo exaggerate hapa. Ilikua on defensive all that time alafu unasema ilikua ahead of matters?Kazi ya Wakili imekwisha kamilika.
Tunashukuru Wakili Msomi kwa kupeleka Mjadala ule wa Bandari kwa namna ile hadi kufikia hitimisho lile
najivunia kuwa CCM ambayo tangu kuanza kwake imekuwa mbele ya muda kwny mijadala yote inayotishia umoja na mshikamano wa Taifa
Chadema pia inathamini sana amani kwa kuwa inajua bila ya amani hakuna ruzuku
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Ndio mtajua kuwa hamjui,CDM ni lini watajifunza?wamepelekwa resi na Wakili Mwambukisi bila hata ya kushtuka ,haya sasa kashawapondo vibayaanaanza kujifelisha mapema kwa kuwachokoza na kuanzisha vita na wanasiasa. come on adv.utakwama. dr slaa anakumisslead
HahahahaChadema walikuwa wanatembea nae mtaani huyu Mwamba dah
Vyama vya upinzani mbona vipo vingi , sio Chadema tuMkuu Chadema ni Genge la matapeli. Na uelewe mimi sio CCM.Saizi Chadema ni tawi kificho la CCM ndio maana huwezi kuta wako na wananchi kupambana juu ya udharimu wa CCM.Mbowe na genge lake wamefeli, bora kije chama kingine cha upinzani. Haiwezekani Nchi yenye upinzani imara tukawa tunalala giza huku utawala unakuja na hoja za kipuuz.
huu ni ule mchezo wa kuharibu ili tukose woteNdio mtajua kuwa hamjui,CDM ni lini watajifunza?wamepelekwa resi na Wakili Mwambukisi bila hata ya kushtuka ,haya sasa kashawapondo vibaya
Achaneni na mzee Mbowe ,nyie kila mwenye mawazo huru kanunuliwa SHAMEHuyu na genge lake wameshanunuliwa... Asitusumbue
Mzee Mbowe amegoma asipewe cheo pale CDM ndio maana kaamua kuwamalizahuu ni ule mchezo wa kuharibu ili tukose wote
Smartness ya Taasisi yote inapimwa kwny kutimiza malengo yake na si vinginevyoCcm haipo smart kama mnavyo exaggerate hapa. Ilikua on defensive all that time alafu unasema ilikua ahead of matters?
Yule mkanada alirejea nchini kwa ajili wa kupata posho za mikutano ya hadharaKabisa!!!!