Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Gavana: Hatutakubali Bandari ya Mombasa ibinafsishwe Kifala falaKazi ya Wakili imekwisha kamilika.
Tunashukuru Wakili Msomi kwa kupeleka Mjadala ule wa Bandari kwa namna ile hadi kufikia hitimisho lile...
sasa anafeli vipi wakati anapigania uhuru wa kujieleza halafu mnataka yeye asiwe huru kueleza anachohisi ni sahihi kwa kuwa tu wengi hawatopenda kusikia ?anaanza kujifelisha mapema kwa kuwachokoza na kuanzisha vita na wanasiasa. come on adv.utakwama. dr slaa anakumisslead
Hapo mnapoingiza mambo ya dini ndipo mara zote mnapojipiga Mtama halafu mnalalamikaGavana: Hatutakubali Bandari ya Mombasa ibinafsishwe Kifala fala
Waislamu: Ruto akabinafsishe kwanza Kuku wake wa mayai na Gachagua akabinafsishe kwanza Mashamba yake ya Kahawa, Chai na Pareto
Sio matusi tu mkuu.Kwa kauli hii Mwambukusi asubiri matusi
Ni mara 100 akwame kuliko kuwa mjinga mwingine.anaanza kujifelisha mapema kwa kuwachokoza na kuanzisha vita na wanasiasa. come on adv.utakwama. dr slaa anakumisslead
Yupo sahihi 100%.Umesikia upinzani ukiongelea mgao wa umeme unaondelea?Umesikia upinzani ukipinga vikali mkataba wa bandari?Hii serikali ni ya ovyo kuwahi kutokea lakini upinzani upo kama haupo.anaanza kujifelisha mapema kwa kuwachokoza na kuanzisha vita na wanasiasa. come on adv.utakwama. dr slaa anakumisslead
Ndio Siasa hiyoMmhh, CCM ipi, hii iliyoshindwa kujua kuwa Iko nje ya muda, imebaki kupora tu chaguzi ili isalie madarakani kwa shuruti?
Wafuasi wa Mbowe hawataki kukubali huu ukweli. Kwasasa Tanzania Hakuna upinzani, tuna magenge ya utapeli.